Uchaguzi 2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

Huyu ni kati ya wale wanaofadhiliwa na CCM, mfukoni alikuwa na shilingi elfu kumi na nne tu (14,000/=)!
 
Serikali ya vitisho mpaka vyombo vya habari hawatangazi habari za Lissu, Dawa ni moja tu road ndio suruhisho la Tanzania na Zanzibar. Hakuna haki inakuja kiulaini laini, Wacha tujiandae.
Uoga wa wananchi ndo kikwazo,wakiingia wengi hawawezi piga mabomu.
 
Naanza kukuweka kundi hili rasmi bwana GENTAMYCINE. Umepatwa na nini? Mbona huko nyuma hukuwa hivi?
 
Nakwambiaje endapo itatokea Lissu sio Raisi basi jua Magufuli ni mtuhumiwa no 1 kwenye mahakama ya ICC na wakuu wake wa vyombo vya dola.
Unajua wengine neema kwao inaweza wajia na wasiitambue kwa ajili ya kiburi walichonacho.
Magufuli na orodha ya wapambe wake kuanzia na IGP walipaswa washukuru kuwa Lissu anakwenda kuwa Rais hivyo wana nafasi kubwa ya kupata msamaha wa matendo yao.
Lakini wanadhani kulazimisha utawala ndio kinga basi watafungiwa mbali na hata ndugu zao watawasikia tuu maana nafasi ya kwenda kuwaona itakuwa kwa wachache tuu
 
Yaani Wewe 'Pimbi' usikie kuwa kuna 'Mauwaji' yametokea huko Pemba halafu Mimi nisisikie? Naona mmeshaanza 'Propaganda' zenu mapema tu.
Who are you by the way... Mgaa gaa tu wewe... Shut up man
 

Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar​

 
Kirefu cha CNN ni nini? Tuanzie hapo Kwanza ili nijue kama 'Kichwani' mwako Kumetimia au kuna 'Siafu' tu kama si 'Mchwa' na 'Sisimizi' kabisa!!!!

Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar​

 

Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar​

 
Una uzoefu na ushoga mpaka mnajuana !!. Nenda Hansard za bunge utakuta serikali humo ikitetea haki za mashoga (waziri wa mambo ya ndani) .
Na Waziri wa nje akiwathibitishia mabalozi haki za mashoga akimkana Makonda . Sasa hapo Lissu anahusikaJe ?!.
Mkuu unapoteza nguvu zako kuyaelewesha hayo majitu yaliyo amua kuwa ujinga ni fahari kwao
 

Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar​

Umeshachelewa wananchi wamefanya maamuzi tayari.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wagombea mapandikizi wa CCM hawa , wamepewa vi centi kidogo vya kutambia mjini basi midomo mirefuuu...!!
 
Sisi ni watanzania na tutamchagua kwa nguvu
Sawa mkimchagua kwa wingi mgombea wenu basi bila shaka ndo atakuwa rais lakini muamchague wachache then nyie mlazimishe kuwa mmeshinda ndipo patakapo chimbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…