madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Kama unakula ugali wako na dagaa kwa amani ni bora kuliko pilau nyama bila amani.... ndiyo maana tunawashauri wenye dola yao wasilete figisu kwenye uchaguzi October dhidi ya Lissu ili tusiwe kama ilivyo Libya leo!
na kama nimepigwa risasi 16 nifanyeje?Kama unakula ugali wako na dagaa kwa amani ni bora kuliko pilau nyama bila amani
Sijapigwa Sasa hapo nitafanyaje au wewe umepigwa?na kama nimepigwa risasi 16 nifanyeje?
Kakiona hao wananchi walioitwa kwa vinubi waje kumshangaa kanazadhani kuwa kanakubalika. kashenzi sana. kanajimix vibaya mmno.Hivi haka ka jamaa kanajiona kanakubalika sanaaa
Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo
Pakawa; WEWE KWELI PAKAWA LAKINI KWA BAHATI MPAYA HAPAPO. Mkajipange kuchukua inji hii hadi labda miaka 200 ijayoNonsense
Rubbish
Live Long TL
Pepo mchafuuuuuuu kaaaaa kimyaaaaaWewe ndiyo Pepe ambalo halijui linataka nini? linataka damu, pesa au amani? pole sana
Lengo lake kafungiwe ili kaonekane kameonewa na tume ya uchaguzi mana kamesha anza kapeni mapema lakin naiomba serekali yangu sikivu wakaache tukaadhibu kwenye sanduku tuuKakiona hao wananchi walioitwa kwa vinubi waje kumshangaa kanazadhani kuwa kanakubalika. kashenzi sana. kanajimix vibaya mmno.
Ni wale usiowajua wewe ndio MabeberuUkitujibu BEBERU ni nani tutakuelewa zaidi. Je, ni wazungu wa World Bank?, ni Wazungu hawa wa mabenki makubwa ya binafsi? ni hawa wazungu wanaokuja kuchimba madini yetu? Je, ni Waingeleza ama Wamarekani? BEBERU ni yupi hasa?
Chaguzi zote Gaddafi alishinda kwa 99.9%OTTER,
Hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi.
Gaddafi hakuondoka kwa ballot box kwa sababu chaguzi zilijaa mizengwe kama za kwetu sasa hivi, lakini ulipofika wakati wa kuondoka akaondolewa - tena kwa aibu!
There're several ways of skinning a cat mind you!
OTTER,
Hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi.
Gaddafi hakuondoka kwa ballot box kwa sababu chaguzi zilijaa mizengwe kama za kwetu sasa hivi, lakini ulipofika wakati wa kuondoka akaondolewa - tena kwa aibu!
There're several ways of skinning a cat mind you!