Uchaguzi 2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

Labda hujui kinachoendelea Huko Belarus. Umezoea kulishwa matango pori na Tbccm wewe. Zikia Kule Belarus yule dictator mwenzenu ametawala kwa miaka 26. Ana sifa kama za JUHA LENU MNALOLISIFIA KILA SIKU HATA MKIENDA CHOONI. ameminya demokrasia, vyombo vya babar na nchi ni masikini kama Sisi' tu.
Sijui Kwann mnaidanganya dunia kwamba TUNDU LISU KATUMWA. Na kwamba atawahamasisha watu waandamane? Alichosema yeye ni kwamba atakayeshinda KIHALALI atangazwe la sivyo hatakubali na ataingiza watu barabarani. Kwakuwa hamuamini kwenye uchaguzi huru na wahaki. Mnaishia kuweweseka na vihoja vyenu vya MABABEBERU .
Ukiulizwa utaje huyo beberu ni nani unaishia kujichokoa mwenyewe na kunusa kidole kama juzi.
Tunataka maendeleo ya watu hatutaki MIDUBWASHA/ MIDEGE ILONUNULIWA BILA KUFUATA SHERIA ZA MANUNUZI, TENA MWAGIZAJI ALIMWAGIZA MTENGENEZAJI WAKIWA WAWILI CHUMBANI
Kama anapambana na ufisadi wamefungwa wangapi impala sasa?
 
Utakua beberu ww
 
OTTER,

Hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijimwambafai hivi hivi.

Gaddafi hakuondoka kwa ballot box kwa sababu chaguzi zilijaa mizengwe kama za kwetu sasa hivi, lakini ulipofika wakati wa kuondoka akaondolewa - tena kwa aibu!

There're several ways of skinning a cat mind you!
Hapo ndipo ujinga wenu unapoonekana waziwazi kama kunyeo la mbuzi unamfananisha gadafi na magu!! Unazo za kwendea chooni tuu.
 
Sasa unalalamika nn

..nimekwambia tuliojiajiri tunategemea walioajiriwa, and vice versa.

..walioajiriwa wakiwa na mapato mazuri, wanakuja kuyatumia kwetu sisi tuliojiajiri.

..Magufuli ameshindwa kuweka mazingira ambapo uchumi wa mtu mmoja mmoja unaimarika.

..Nchi imetangazwa kuwa na uchumi wa kati, lakini hilo halijidhihirishi huku site/kitaa/mashambani etc.
 
Utakua beberu ww
Nini maana ya BEBERU?
Ni yule tuliyemuuzia wenyewe mafuta yeti na Gase huku tukishangilia bungeni?
NI yule anayechangia kwenye bajeti yeti tegemezi?
Ni yule anyetupa chanjo za watoto watu?
Ni yule anayetoa pesa za kujenga Barbara za mwendo Kasi?
BEBERU NI NANI?
 
Wanajamvi Salaam,

Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo yatakayotangazwa kinyume na matarajio yao yeye na mabeberu. Sasa hii inaonyesha ni mkakati maalum ambao tayari umeshapangwa kwa ajili ya kuivuruga amani iliyopo Tanzania.

Wananchi wa Belarus, wanaandamana kwa kupinga ushindi wa Rais wao Bw. Alexander Lukashenko, aliyechaguliwa na wananchi na kushinda kwa asilimia 80 ya kura zote. Sasa maandamano hayo yanaungwa mkono na nchi zao majirani ikiwa ni mkakati wa kibeberu kwa ajili kuifanya nchi yao isitawalike.

Angalizo kwa Lissu: Sisi Watanzania siyo wajinga kiasi hicho cha kuwafanya wananchi waandamane eti kisa hautatangazwa kama mshindi. Waeleze mabeberu maandamano wanaofanya katika nchi ya Belarus wasitarajie yatafanyika katika nchi yetu, kama walikuhaidi kukusaidia katika maandamano hayo ya kuhatarisha amani, waeleze huku Tanzania wameingia mlango ambao hawataweza kutokea.

Salaam hizi ziwafikie nyumbu wote wa ufipa. Amani haina chama.
You are a black devil [emoji49]
 
ili kuepusha hayo yote acheni kuwapora wagombea fomu,acheni kuwabambika kesi wagombea,acheni kuwatuma kina sabaya kupiga watu mawe,wekeni kila kitu wazi bini wazi msizuie vyombo vya habari kufanya ubaguzi kwenye kuhabarisha watu sera za vyama pinzani,kila kitu kikiwa wazi uchaguzi uwe wazi Lisu akishindwa kihalali bila figisu na kila mtu yu shahidi hakuna uvunjifu wowote,mabeberu awapigi kura hofu yako nini.
 
Mleta mada nilitaka kukushauri kitu ila nimegundua huna akili za kushauriwa zaidi ya akili za 'mawazo mafupi' kama ulivyo wewe!
 
Kamshauri mkeo unayelalanaye kila siku, aache uchakubanga wa kitu ambacho hana uhakika wa kukipata
 
Back
Top Bottom