Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #61
Ni dhahiri huna akili timamu au labda umelogwa ili uwe kikaragosi cha mtu ili uwe ndondocha , huo upumbavu ulioandika hapo ndio ulioandikwa kwenye Katiba ya Nchi ? hivi mnadhani waliotunga Katiba hawakuwa na akili ?Kuna upotoshaji mkubwa kama vyama vimekatazwa kufanya siasa kilichokatazwa sio siasa ila ni mikutano ya umma ambayo inahusisha kila mtu hata yule ambaye sio mwanachama. Mikutano kama hiyo inafanyika wakati wa kampeni tu na si wakati mwingine. Huwezi kuwa na chama kimoja kinaongoza nchi na vingine vinapiga kapeni, huwezi kuwa na usawa katika siasa kama wengine wanaongoza nchi na wengine wanafanya kampeni.
Kama unafikiri mlio wafukuza ndio "Mercenaries" je waliobaki wao sio "Mercenaries"?
Kweli, tunao mpaka maprofesa wa kuokotwa majalalani.Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Mnyika is by far better than the gone Mashinji.Unaondoa Mashinji unaweka Mnyika hiyo matope au utelezi?
Definitely true!kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa.
Huna hoja , tunatambua kwamba unahangaika kuandika humu ili kujikimu na umasikini unaokukabili , endelea kupambana na njaaUnaondoa Mashinji unaweka Mnyika hiyo matope au utelezi?
Kwa CV ile hata mimi ningemteua aisee lakini kumbe hamna kitu. Kusoma ni kuzuri sana lakini kama umesoma Diploma usipate maendeleo( sio lazima yawe ya pesa), ukapata degree usipate maendeleo( siyo lazima yawe ya mali) na hapo hapo ukafanya masters bado ukaa huwezi kupata maendeleo hapo ujue hata ukipata Phd ni kazi bure. Na ndio walio wasomi wengi. Wasipopata nafasi za kuteuliwa hakuna wanaloweza kwa uwezo wao binafsi.Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Dude!,Mnyika is by far better than the gone Mashinji.
Kumbuka kilichompoteza Saa 9 ni kuuliza uhalali wa Phd ya baba fulani. Zingine sio phd ni ......Mashinji zaidi ya hivyo vyeti vyake sioni kama ana uwezo wa kuongoza chochote kile. Labda familia yake.
Unaweza kuta na yeye ni wale waliokariri tu. Mavyeti yote hayo halafu hakuna utofauti aliouleta tujuwe alielimika!
Bora Mashinji kawa mkweli kuwa kipaumbele ni mkate wa siku kwa familia yakeMkuu unawezaje kutenganisha polisi na CCM na Sumaye analijua hilo,kwake hiyo ilikuwa gia ya kuondokea,lakini anazo sababu lukuki za kimaslai zilizomlazimisha aondoke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa Mnyika amefanya kazi kuliko yoote aliyofanya Mashinji kwa miaka yote aliyokaa ofsiniDude!,
It's less than a quarter of a year, let him finish one year and he will be measured fairly and squarely.
Don't praise him now when he has nothing to show more than few pressers with the journo.
Tatizo la vetting hata huko lipo tena limekuwa sugu ndiyo maana teua tumbua teua tumbua teua tumbua teua tumbua teua tumbua haziishi.Tundu Lissu kaleta argument ya kijinga inayoweza kuwaridhisha watu wenye mahaba na waliojitoa akili.
CHADEMA inatakiwa ijipange kuhusu vetting. Inawezekana kila mikakati inayopanga inavuja kwa CCM kwa sababu viongozi wanakwenda CCM na kutoa siri huko.
Si jambo la leo wala mara moja. Wameanza kuondoka kina Dr. Walid Amani Kabourou huko. Shibuda alivyoingia CHADEMA niliwatahadharisha atawaletea matatizo, namjua personally. Hawakunisikia. Kilichofuatia ni fedheha.
Habari ni ile ile kwa Lowassa, Sumaye na sasa Mashinji.
Ama CHADEMA ina udhaifu katika sera na uongozi wake, watu wanaona chama hakifai wanaondoka, ama ina udhaifu katika kuchuja viongozi.
Either way, that is not a good look.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mashine ya umbeaHuna hoja , tunatambua kwamba unahangaika kuandika humu ili kujikimu na umasikini unaokukabili , endelea kupambana na njaa
We know him, we have seen him before in the parliament, we expect more from him though he has remained a little quiet lately. He is incomparable to the former.Dude!,
It's less than a quarter of a year, let him finish one year and he will be measured fairly and squarely.
Don't praise him now when he has nothing to show more than few pressers with the journos.
Hiyo kauli ya Sumaye ni kipuuzi wewe.Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye
Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
I couldn't agree more!Tundu Lissu kaleta argument ya kijinga inayoweza kuwaridhisha watu wenye mahaba na waliojitoa akili.
CHADEMA inatakiwa ijipange kuhusu vetting. Inawezekana kila mikakati inayopanga inavuja kwa CCM kwa sababu viongozi wanakwenda CCM na kutoa siri huko.
Si jambo la leo wala mara moja. Wameanza kuondoka kina Dr. Walid Amani Kabourou huko. Shibuda alivyoingia CHADEMA niliwatahadharisha atawaletea matatizo, namjua personally. Hawakunisikia. Kilichofuatia ni fedheha.
Habari ni ile ile kwa Lowassa, Sumaye na sasa Mashinji.
Ama CHADEMA ina udhaifu katika sera na uongozi wake, watu wanaona chama hakifai wanaondoka, ama ina udhaifu katika kuchuja viongozi.
Either way, that is not a good look.
Sent using Jamii Forums mobile app
CC: zitto juniorKwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?
Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?
Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Mashinji amekimbia kufa njaa hapo Ufipa kama yule mtangulizi wake aliyekuwa anaishi kwa mihogo ya kuchoma!Huna hoja , tunatambua kwamba unahangaika kuandika humu ili kujikimu na umasikini unaokukabili , endelea kupambana na njaa
I think this is the key phrase "we expect".we expect