Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Chama kinachoweza kubadili mikakati ya muhimu na mizito kabisa kwa haraka namna hii si chama.

Unaelewa kuwa hata ile high level strategy snapshot ya chama kwa wakati fulani tu ni sensitive information?

Kwamba, mtu akipata mikakati ya chama ya mwishoni mwa mwaka jana, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, mwaka huu wa uchaguzi, hapo hata ukianza kubadilisha strategy ushapigwa bao kubwa sana tu?

Hususan kwa utawala huu wa Gestapo.

Mtu akiambiwa tu "Wale Chadema anayewapa hela fulani, mikkati ya usafiri anafanya fulani, fulani hana ushawishi chamani, fulani ndiye kinara anayeanzisha chokochoko za maandamano, fulani tunaweza kumnunua akaja CCM, dau lake hili, fulani aliwahi kusema anagopa sana kesi yake ikienda hivi, fulani ana mazabe fulani, hela za ruzuku zinaliwa hivi, etc"

Mpaka hapo kwa sbnapshot kama hiyo tu, CCM washajua wanakaba wapi.

Na hata ukisema ubadilishe, utabadilisha mpaka mazungumzo uliyofanya mwaka jana?

Halafu ww Kiranga una vichekesho ile mbaya, kuna mikakati gani mizito kwenye hivi vyama vya siasa? Kama wapinzani walimchukua Lowassa miezi miwili kabla ya uchaguzi na wakapata kura 6m za urais, wabunge na madiwani kibao. Hapo kuna mikakati gani ya kutisha au ya miaka miwili ambayo mtu aliyehama leo ndani ya miezi sita itakuwa haijabadilika? Walinunuliwa viongozi toka upinzani wakaenda ccm wakiwa hawana hata mwezi wakateuliwa hapo hapo kugombea nafasi ndani ya ccm. Hapo kuna mikakati gani ya maana ambayo ni siri sana? Inaonekana unachanganya mikakati ya vikundi vya kigaidi na vyama vya siasa huku dunia ya tatu. Ni hivi huku Afrika hususan hapa nchini Tanzania hakuna mikakati ya muda mrefu wala siri za hatari hivyo, siasa za huku zinacheza na upepo tu wala sio mikakati ya hivyo.
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Kwa hiyo kuchaguluwa kwa Mashinji ulikuwa mkakati wa kikanda. Kama ni kweli basi CHADEMA inateua au kuchagua viongozi wake kwa kuzingatia kanda. Je viongozi waliochaguliwa hivi karibuni wanawakilisha kanda gani?
 
Halafu ww Kiranga una vichekesho ile mbaya, kuna mikakati gani mizito kwenye hivi vyama vya siasa? Kama wapinzani walimchukua Lowassa miezi miwili kabla ya uchaguzi na wakapata kura 6m za urais, wabunge na madiwani kibao. Hapo kuna mikakati gani ya kutisha au ya miaka miwili ambayo mtu aliyehama leo ndani ya miezi sita itakuwa haijabadilika? Walinunuliwa viongozi toka upinzani wakaenda ccm wakiwa hawana hata mwezi wakateuliwa hapo hapo kugombea nafasi ndani ya ccm. Hapo kuna mikakati gani ya maana ambayo ni siri sana? Inaonekana unachanganya mikakati ya vikundi vya kigaidi na vyama vya siasa huku dunia ya tatu. Ni hivi huku Afrika hususan hapa nchini Tanzania hakuna mikakati ya muda mrefu wala siri za hatari hivyo, siasa za huku zinacheza na upepo tu wala sio mikakati ya hivyo.
Kimsingi unakubaliana na mimi kwamba vyama vya upinzani havina mikakati mizito.

Na kama hilo ni kweli, siwezi kushangaa kwa nini watu wanavikimbia na vinashindwa kuchukua madaraka.

Kwa sababu, ili watu wabaki na chama kichukue madaraka, chama kinahitaji kuwa na mikakati mizito.
 
Mashinji zaidi ya hivyo vyeti vyake sioni kama ana uwezo wa kuongoza chochote kile. Labda familia yake.

Unaweza kuta na yeye ni wale waliokariri tu. Mavyeti yote hayo halafu hakuna utofauti aliouleta tujuwe alielimika!
Working under influence..same as an experienced driver driving under influence
.
 
Sheria zilizo kinyume na katiba zina uhalali gani? Kama kuna sheria zinazokinzana na uhuru uliotolewa na katiba, hizo ni sheria kandamizi. Na ni kinyume na katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Ndio maana nasema watu wanaosoma vibaya katiba ya JMT. Katiba ni sheria mama lakini sio sheria pekee ya JMT. Kuna sheria zingine nyingi za nchi ambazo katiba inabidi izitambuwe na kuziheshimu. Chukulia sheria ya ndoa, hakuna sehemu imesemwa kwenye katiba lakini kama nchi kuna sheria ya ndoa na imefafanua nani anaruhusiwa kuoa na kuolewa na umri unaoruhusuwa kufunga ndoa.
 
Kimsingi unakubaliana na mimi kwamba vyama vya upinzani havina mikakati mizito.

Na kama hilo ni kweli, siwezi kushangaa kwa nini watu wanavikimbia na vinashindwa kuchukua madaraka.

Kwa sababu, ili watu wabaki na chama kichukue madaraka, chama kinahitaji kuwa na mikakati mizito.
Siasa si kupiga mdomo tuu... strategies ili zifanyiwe KAZI lazima pesa za logistics ziwepo... can you imagine Bashiru struggling to move around the country because of the lack of funds!!???
 
CHADEMA imeshindwa kazi ndogo tu ya ku mobilize Watanzania kupinga katazo dhalimu na lisiloheshimu katiba ya nchi la kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano.

Hili katazo linavunja katiba wazi.

CHADEMA mpaka leo imefyata mkia na kukubali falsafa za "hewala bwana mkubwa".

Sasa chama kama hiki kimeshindwa kutetea haki za msingi za kikatiba utaniambiaje kinazidisha ushawishi?

Kwa hili uko sahihi sana, je ushawishi ni lazima cdm wawamobilize watu kwenda kupambana na vyombo vya dola? Hivi tunavyozungumza viongozi wa cdm wana kesi ya kuitisha maandamano kudai wasimamizi wao wa uchaguzi kutangazwa, hebu tuambie ww mchango wako ni upi kupinga hilo Katazo haramu ili tujue hata ww una ubavu wa kuzuia huo uhuni. Kwanza ujue ushawishi sio lazima kuwapeleka watu kwenda kupata vilema dhidi ya vyombo vya dola vinavyotii amri za kidictator, au labda mimi ndio sijui maana ya ushawishi.

Tofautisha ushawishi wa kisiasa, na ushawishi wa kuwajaza watu ujasiri kwenda kupambana na vyombo vya ili kudai jambo fulani hata kama ni haki yao. Na isitoshe kujaza watu ujasiri wa kwenda kupoteza maisha kwa ajili ya mambo ya kisiasa kuna hatua zake. Tazama akina Gaddaf, Elibashir, Mugabe nk hawakutolewa ndani ya miaka miwili mitatu kwa nguvu ya umma, bali ilichukua muda kabla ya umma kujitoa muhanga. Acha siasa nyepesi na hoja za kusaka ushindi kwa jambo linalohitaji kujipanga nje ya ushawishi wa kisiasa.
 
View attachment 1363963

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amesema kwamba kuondoka kwa Mashinji na waliomtangulia ndani ya Chadema , wakati tayari wamevuliwa vyeo hakuwezi kuathiri chama chake kwa lolote .

Amedai kwamba wangeweza kuathirika iwapo kama wahusika wangehamia ccm wakiwa na vyeo vyao , lakini kwa style hii hawawezi kuathiri chochote .

Lissu pia amegusia uadilifu wa Mashinji , ambapo amedai kwamba hakuwa Muadilfu ( hakufafanua )
Mashinji ameona mbali tena mapema kuwa Bus la CDM ni bovu hivyo amehofu kulala njiani.Ni vyema kudandia Bus la mwendo kasi tena akae karibu na dreva afike upesi.Kazi kweny enyi .....Kwanini mnashindwa kusoma ALAMA za nyakati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi unakubaliana na mimi kwamba vyama vya upinzani havina mikakati mizito.

Na kama hilo ni kweli, siwezi kushangaa kwa nini watu wanavikimbia na vinashindwa kuchukua madaraka.

Kwa sababu, ili watu wabaki na chama kichukue madaraka, chama kinahitaji kuwa na mikakati mizito.

Naona unaleta hoja nyepesi wala huna lolote unaloongea hapa. Umejaa nadharia kuliko uhalisia. Mikakati mizito ni ipi, kumbuka ccm hapo ilipo sio chama cha siasa bali ni dola iliyojivika koti la chama cha siasa. Unapoona watu wanakimbia lazima uangalie wanakimbia kwa sababu zipi. Nitawataja wawili watatu kisha nitataja wengi.
  1. Lowassa,huyu hakuwa mpinzani bali mfanyabiashara aliyepata utajiri kupitia siasa, na alikuwa na ndoto ya kuwania urais. Kwakuwa alikosa nafasi hiyo akiwa ccm, akatumia pesa zake kununua nafasi hiyo kwenye chama kilichokuwa na nguvu kubwa ya ushawishi. Kwa bahati mbaya chama kilichompa nafasi kilicheza karata ya kipuuzi kikaishia kumpa nafasi. Alipokosa nafasi hiyo aliyoitaka na kubanwa kwenye utajiri wake, hakuwa na jinsi zaidi ya kurudi kwenye chama ambacho utajiri wake wa wizi utakuwa salama.
  2. Sumaye, huyu hakuwa mpinzani. Anamiliki mali alizozipata kinyume na taratibu kutokana na madaraka aliyokuwa nayo huko nyuma. Huko upinzani hakukuwa salama, hasa chini ya kiongozi kama Magufuli anayeweza kutumia madaraka yake kukomoa wapinzani wake, hivyo ni lazima ajisalimishe ccm ili mali zake haramu zisipotee.
  3. Mashinji, huyu aliletwa na Lowassa na kusimikwa kutokana na fedha aliyotoa boss wake, hivyo akapewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake. Baada ya kukosa hayo madaraka na aliyemleta kaondoka unategemea nini?
  4. Viongozi wengine hasa wa cdm waliohama zaidi ya 90% ni wale waliokuja na mafuriko ya Lowassa na wala hawakuwa na msingi wowote wa upinzani. Kwakuwa hawakuwa na msingi wowote wa upinzani, ccm wakatumia nguvu yao ya dola kuwahujumu kisiasa kwenye maeneo yao, kiuchumi ili kuwadhoofisha. Baada ya wao kuwa kwenye wakati mgumu kutokana na wao kuwepo upinzani, ccm wakatumia nafasi ya ya dola kuwarubuni kwa pesa na kuwarudishia vyeo vyao kwa mlango wa umma. Ndio unaona haya yanayoendelea hasa kwa cdm.
  5. Kama tatizo ni udhaifu wa upinzani hasa cdm, kwanini hao watu hawahami toka vyama vingine vya upinzani bali cdm tu? Na ni kwanini wanaohama hasa cdm wanakwenda ccm tu na sio vyama vingine ili kuviimarisha. Toka nje ya box
 
Mashinji ameona mbali tena mapema kuwa Bus la CDM ni bovu hivyo amehofu kulala njiani.Ni vyema kudandia Bus la mwendo kasi tena akae karibu na dreva afike upesi.Kazi kweny enyi .....Kwanini mnashindwa kusoma ALAMA za nyakati!

Sent using Jamii Forums mobile app

Cdm ni basi bovu au alikuwa anategemea cheo? Ameona cdm kakosa cheo, uhakika wa kupata cheo tena haupo maana hana mvuto. Akiangalia upande wa pili dictator anamwaga vyeo vya bwerere kwa watu toka upinzani ili apate mvuto. Katika mazingira hayo unategemea nini?
 
Siasa si kupiga mdomo tuu... strategies ili zifanyiwe KAZI lazima pesa za logistics ziwepo... can you imagine Bashiru struggling to move around the country because of the lack of funds!!???
Sasa ukipewa hela halafu ukakatazwa kujieleza unaweza kufanya siasa za maana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili uko sahihi sana, je ushawishi ni lazima cdm wawamobilize watu kwenda kupambana na vyombo vya dola? Hivi tunavyozungumza viongozi wa cdm wana kesi ya kuitisha maandamano kudai wasimamizi wao wa uchaguzi kutangazwa, hebu tuambie ww mchango wako ni upi kupinga hilo Katazo haramu ili tujue hata ww una ubavu wa kuzuia huo uhuni. Kwanza ujue ushawishi sio lazima kuwapeleka watu kwenda kupata vilema dhidi ya vyombo vya dola vinavyotii amri za kidictator, au labda mimi ndio sijui maana ya ushawishi.

Tofautisha ushawishi wa kisiasa, na ushawishi wa kuwajaza watu ujasiri kwenda kupambana na vyombo vya ili kudai jambo fulani hata kama ni haki yao. Na isitoshe kujaza watu ujasiri wa kwenda kupoteza maisha kwa ajili ya mambo ya kisiasa kuna hatua zake. Tazama akina Gaddaf, Elibashir, Mugabe nk hawakutolewa ndani ya miaka miwili mitatu kwa nguvu ya umma, bali ilichukua muda kabla ya umma kujitoa muhanga. Acha siasa nyepesi na hoja za kusaka ushindi kwa jambo linalohitaji kujipanga nje ya ushawishi wa kisiasa.
Kwani wapi nimeandika kuhusu kupambana na vyombo vya dola?

Unataka kufananisha ushawishi wangu na wa chama kama CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaleta hoja nyepesi wala huna lolote unaloongea hapa. Umejaa nadharia kuliko uhalisia. Mikakati mizito ni ipi, kumbuka ccm hapo ilipo sio chama cha siasa bali ni dola iliyojivika koti la chama cha siasa. Unapoona watu wanakimbia lazima uangalie wanakimbia kwa sababu zipi. Nitawataja wawili watatu kisha nitataja wengi.
  1. Lowassa,huyu hakuwa mpinzani bali mfanyabiashara aliyepata utajiri kupitia siasa, na alikuwa na ndoto ya kuwaunganisha rais. Kwakuwa alikosa nafasi hiyo akiwa ccm, akatumia pesa zake kununua nafasi hiyo kwenye chama kilichokuwa na nguvu kubwa ya ushawishi. Kwa bahati mbaya chama kilichompa nafasi kilicheza karata ya kipuuzi kikaishia kumpa nafasi. Alipokosa nafasi hiyo aliyoitaka na kubanwa kwenye utajiri wake, hakuwa na jinsi zaidi ya kurudi kwenye chama ambacho utajiri wake wa wizi utakuwa salama.
  2. Sumaye, huyu hakuwa mpinzani. Anamiliki mali alizozipata kinyume na taratibu kutokana na madaraka aliyokuwa nayo huko nyuma. Huko upinzani hakukuwa salama, hasa chini ya kiongozi kama Magufuli anayeweza kutumia madaraka yake kukomoa wapinzani wake, hivyo ni lazima ajisalimishe ccm ili mali zake haramu zisipotee.
  3. Mashinji, huyu aliletwa na Lowassa na kusimikwa kutokana na fedha aliyotoa boss hivyo akapewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake. Baada ya kukosa hayo madaraka na aliyemleta kaondoka unategemea nini?
  4. Viongozi wengine hasa wa cdm waliohama zaidi ya 90% ni wale waliokuja na mafuriko ya Lowassa na wala hawakuwa na msingi wowote wa upinzani. Kwakuwa hawakuwa na msingi wowote bwana upinzani, ccm wakatumia nguvu yao ya dola kuwahujumu kisiasa kwenye maeneo yao, kiuchumi ili kuwadhoofisha. Baada ya wao kuwa kwenye wakati mgumu kutokana na wao kuwepo upinzani, ccm wakatumia nafasi ya ya dola kuwarubuni kwa pesa na kuwarudishia vyeo vyao kwa mlango wa umma. Ndio unaona haya yanayoendelea hasa kwa cdm.
  5. Kama tatizo ni udhaifu wa upinzani hasa cdm, kwanini hao watu hawahami toka vyama vingine vya upinzani bali cdm tu? Na ni kwanini wanaohama hasa cdm wanakwenda ccm tu na sio vyama vingine ili kuviimarisha. Toka nje ya box
CHADEMA ina mikakati mizito ya kuweza kuchukua dola au haina?

Hujajibu swali hili.

Kama Sumaye na Lowassa hawakuwa wapinzani lakini walikubaliwa upinzani mpaka wengine kupewa ugombea urais, hapo huoni hicho chama kimeboogie step na hakina mkakati wa maana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wapi nimeandika kuhusu kupambana na vyombo vya dola?

Unataka kufananisha ushawishi wangu na wa chama kama CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaongea nini we dogo? Uliposema cdm hawana ushawishi maana wanashindwa kumobilize watu wapinge amri ya kuzuiwa kufanya siasa ulikuwa unategemea kwenye nchi ya dictator wataishia wapi kama sio kukutana na vyombo vya dola?


We kwako ni rahisi, ungeenda mahakamani ili ukapinge hiyo amri haramu.
 
CHADEMA ina mikakati mizito ya kuweza kuchukua dola au haina?

Hujajibu swali hili.

Kama Sumaye na Lowassa hawakuwa wapinzani lakini walikubaliwa upinzani mpaka wengine kupewa ugombea urais, hapo huoni hicho chama kimeboogie step na hakina mkakati wa maana?

Sent using Jamii Forums mobile app

Cdm ina mikakati ya kuchukua dola, unaposema mizito sijui uzito wako unataka uwe ni wa kilo ngapi. Nijuavyo ina mikakati ya kuchukua dola hata kama kutakuwa na mapungufu ya hapa na pale, lakini lengo la msingi liko wazi.

Ni mpinzani gani asiyejua kuwa Lowassa au Sumaye kwenda upinzani na kupewa nafasi adhimu ni kosa? Pamoja na huo udhaifu walionyesha cdm wa kuokota hizo taka ngumu toka huko ccm na kuzipa nafasi tena nyeti, bado tabia na udhaifu binafsi ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ya Magufuli, yamechangia sana hicho kinachoendelea cdm. Yaani hiki kinachoendelea kwenye siasa za nchi yetu ni zaidi ya udhaifu wa upinzani.

Ni kweli kuna udhaifu fulani ndani ya cdm hata upinzani kwa ujumla, na udhaifu wa aina hiyo upo pia ndani ya ccm, ila kwakuwa rais hasa kutokana na madaraka makubwa anayoyapata kupitia katiba yenye mapungufu, anaweza kuamua nani afanye siasa na afanye atakavyo yeye. Hilo la kusema ushawishi sijui bla bla gani, kama ccm ni imara na inakubalika sana, tulitarajia kuona ushindani usio na ghiliba kwenye box la kura, au hata tungeona basi watu wakijitokeza kwa wingi kupiga kura. Ukitaka kuleta maoni yako, usituletee ushabiki maandazi, maana tutakuaona ni muuza sura tu kama wauza sura wengine.
 
View attachment 1363963

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amesema kwamba kuondoka kwa Mashinji na waliomtangulia ndani ya Chadema , wakati tayari wamevuliwa vyeo hakuwezi kuathiri chama chake kwa lolote .

Amedai kwamba wangeweza kuathirika iwapo kama wahusika wangehamia ccm wakiwa na vyeo vyao , lakini kwa style hii hawawezi kuathiri chochote .

Lissu pia amegusia uadilifu wa Mashinji , ambapo amedai kwamba hakuwa Muadilfu ( hakufafanua )
Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa msomi kuliko Vyama vyote Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom