Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Haina haja kuanza kutoleana kashfa baada ya mtu kusepa. Hii inaweza kutafsiriwa kama “sizitaki mbichi hizi”. Mtu akiondoka, mnaachana nae na mnapambana na yenu
 
Wewe ni shabiki wa nje tu hujuwi yanayotokea ndani ya chama, visiki vya yule anayejiita mwamba. Wengi wanalalamika chini chini, hata Lissu ana malalamiko yake, alikuja mpaka Kenya akataka kukiwasha wakaenda kumpoza. Uwongo ukweli ?
Usiwe unaokoteleza ujinga na kuuleta hapa, utadharaulika. Hakuna chama kilichotulia kama maji mtunguni. Hilo la kwanza, na unapopayukapayuka hovyo hilo usilisahau. Pili, mvutano unaoelezwa kuwepo ndani ya Chadema tatizo halianzii kwa Mbowe, bali linaanzia katika matumbo ya watu...ilikuwa kwenye matumbo ya akina Mwambe, matumbo ya akina Lowasa, matumbo ya akina Sumaye, na hata matumbo ya akina Mashinji. kama una akili uliona alichopost baada tu ya kupokelewa CCM.
Jambo la tatu, lazima ufahamu kwamba CCM ya awamu ya tano imejiapiza kuufuta upinzani na haitanii kwa kuwa imejaza washamba (in Zitto's voice). na kikwazo chao kikubwa ni Chadema maana ndicho chama cha upinzani nchini chenye nguvu. Kwahiyo, kinachofanywa sasa ni kuelekeza mashambulizi ya kila namna kwa chama hicho ili kisambaratike kabisaaa. unapoona watu wenye akili timamu wanajifanya hawaoni kabisa unyama na ukatili unaofanywa na wenye dola dhidi ya wasio na dola katika kufanya siasa, ujue hali ni tete. Sasa wewe kwa kuwa hujui yanayotokea baki ujimani!
 
Kichaa akikupora taulo na wewe ukaanza kumkimbiza wote mtaonekana machizi.
Kwenye siasa haiko hivyo man! Of course Chadema kama taasisi haiwezi kuhangaika na wanaohama, na nafikiri unaona statement zinazotoka kitaasisi, huku kwingine anarukiwa tu!
 
Mbowe amehojiwa jana na Clouds FM kipindi cha Jahazi. Amesema very clear Kuwa wahuni wote wanajulikana. Hata ambao wapo kwenye negotiations wanajulikana. Lakini kama chama hawatawafukuza. Watashughulika nao kwa akili na mwishowe watajitoa wenyewe. Wakianza kufukuzwa watapata public sympathy watakapoanza kulia lia wamefukuzwa na hivyo kuondoa ajenda muhimu ya chana kwa sasa. Kwaiyo wanaofika bei wanajulikana, waliofika bei wanajulikana. Mbowe akamalizia kwa kusema Chadema ipo imara kuliko nyakati zote zile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ingewafukuza ingepata credit lakini kwa huu uhuni wa kusema unakaa na mtu unaejua hauko pamoja nae huku ukiendelea kujifariji utaishi nae kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So formulaic.

After the fact, you trash him.

Why didn’t you [trash him] before the fact?

Sour grapes 🍇.
Tatizo Wafrika ni wanafiki sana.
Ipo siku John Mnyika akiondoka watasema hakuwa strategic kukijenga chama and so on......
Sio vizuri kunangana na kusutana,wanaume wa ukweli uambiana ukweli ili warekebishane.
Uadilifu mzuri ni ule wa kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha, sijui ni uadilifu gani unaozumgumziwa ilihali signatories wa chama wanajulikana.
Nimuombe Mh.Mashinji asijibu chochote kwani kwa kufanya hivyo ni kusaliti utu wake na heshima yake na maadili ya taaluma yake.
 
Chama kinachoweza kubadili mikakati ya muhimu na mizito kabisa kwa haraka namna hii si chama.

Unaelewa kuwa hata ile high level strategy snapshot ya chama kwa wakati fulani tu ni sensitive information?

Kwamba, mtu akipata mikakati ya chama ya mwishoni mwa mwaka jana, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, mwaka huu wa uchaguzi, hapo hata ukianza kubadilisha strategy ushapigwa bao kubwa sana tu?

Hususan kwa utawala huu wa Gestapo.

Mtu akiambiwa tu "Wale Chadema anayewapa hela fulani, mikkati ya usafiri anafanya fulani, fulani hana ushawishi chamani, fulani ndiye kinara anayeanzisha chokochoko za maandamano, fulani tunaweza kumnunua akaja CCM, dau lake hili, fulani aliwahi kusema anagopa sana kesi yake ikienda hivi, fulani ana mazabe fulani, hela za ruzuku zinaliwa hivi, etc"

Mpaka hapo kwa sbnapshot kama hiyo tu, CCM washajua wanakaba wapi.

Na hata ukisema ubadilishe, utabadilisha mpaka mazungumzo uliyofanya mwaka jana?
Mkuu nadhani unaelewa kuwa taarifa muhimu huwa zinaishia ofisi ya Mbowe tu kama ambavyo zinaishia ofisi ya magufuli tu.
Professor safari mind you amekua msaidizi wa Mbowe kwa miaka zaidi ya 6 ila anakwambia hakuwahi kupewa taarifa nyeti zaidi alikua anazisikia execution tu ikifanyika.... Hta issue ya Lowassa kuja aliijua Mbowe tu initially wao kina safari wamejulia siku ya kamati kuu!!

Nachosema ni kwamba classified info kama Informants,Funds,Channels,recruitment huyo mashinji au Mnyika hatokaa ajue ila ni top echelons tu wa chama ambao Ni mbowe na inner circle yake ambayo sio wote ni active members wa CHADEMA ila wapo background!!
Mbowe atakuwa mpumbavu kumpa siri zote katibu wake ilihali makatibu na manaibu wao jumla 6 waliopita wote walihama CHADEMA!! Atakuwa hajitambui kabisa na kma kweli mashinji ana siri trust me asingefika Lumumba ile siku anahama angeshamalizwa tokea december!! Huwezi risk uhai wa chama kwa tamaa za mtu mmoja!!

So kwa kuwa yupo ''alive'' basi amini wameona hana madhara yeyote otherwise wangempigia magoti kma Dr Slaa asihame ama angekua neutralized kma yule double agent!!
 
Unaelewa kwamba chama kuwa na taarifa muhimu zinaishia kwa Mbowe tu ni weakness, si strength?
 
Ndio maana nimesema na inner circle Yaani watu wachache aliowasource Mbowe mwenyewe ili kuzuia siri kuvuja
Hiyo nayo ni weakness, si strength.

Tunakataa vyama kuendeshwa kinyemela na wasiojulikana CCM.

Halafu CHADEMA nako mnatupa maboya mmeyaweka mbele, kumbe kuna wasiojulikana wanaendesha chama nyuma.

Maboya wanakaa vikao, lakini wanaopanga mambo ni wasiojulikana.

Hiyo ndiyo Demokrasia?

Kama uongozi wa CHADEMA wenyewe hauaminiani, Watanzania wataweza vipi kuuamini uongozi wa CHADEMA na kuukabidhi nchi?

Kwa mtaji huu, hata John Mnyika akihama mtamlaumu?
 
Mkuu mie natoa maoni kwa neutral POV sipo hapa kutetea chama chochote ila ukweli utabaki kuwa hakuna chama au kampuni ambayo siri muhimu zijulikane na employee yeyote tu!! Hivi unafaham hata baadhi ya board members na management hawakufaham kuwa Exxon Mobil inatumia CIA kufanya recruitment ya wafanyakazi!!

Siri kama hizo kwa upande wa CCM au CHADEMA kuzificha kwa watu wachache ni udikteta??? Taarifa ikiletwa inasogezwa kamati kuu wote mnaijadili ila informant asipotajwa ndio udikteta?? Nadhani hii ni discpline ya taasisi zote duniani otherwise Utakuta shirika zima limejaa mapandikizi mchana wako Air Tanzania afu usiku taarifa zipo Rwandair.
 
Inaeleweka kuwa ni muhimu kuwe na information classification na need to know basis.

Lakini, unapokuwa na mtu Katibu Mkuu wa chama, huyo yupo katika top echelon ya chama, huyo si consumer tu wa sensitive information, huyo pia ni creator wa sensitive strategy.

Sasa chama makini hapo kingekuwa na vetting system nzuri, anapatikana mtu asiye na shaka kuwa ata defect.

That way, you do not shortchange the party by having a dummy Secretary General, and at the same time, you do not run the risk of exposing sensitive information.

CHADEMA clearly wameshindwa kuwa na a good enough vetting system. Mpaka unasema kuna shadow politburo huko, ambako hata hatujui kama ni kweli ipo au unasema tu.

Suppose ipo, hilo tu ni weakness, chama mbadala kinaendeshwa kihuni huni, kiujanja ujanja. Maofisa waandamizi wa chama hawaaminiwi.

Mpaka hapo tu chama kimeshindwa kuji organize ndani, kitaweza ku organize nchi na mizengwe yote iliyo katika kushika dola?

Kama viongozi wa chama hawaaminiani, wanategemeaje wananchi wawaamini hao viongozi wa chama?
 
So called Shadow politburo ipo watu kama kina Reginald Munisi au John Mrema know a lot kuliko hata huyo katibu Mkuu, wao ndio wanajua dirty job zote at least kwa pale makao makuu maana wako proven kuhusu loyalty yao.

Mkuu tukisema hivyo basi hata CCM ambao unawatumia kama benchmark wana shida maana imekuaje former PM wawili waende upinzani??

Issue hapa ni kwamba Trust inajengwa kwa muda mrefu na ndio maana Mnyika alikua anakaimu kazi za Dr Slaa kipindi ambacho Zitto alikua naibu wa slaa!! Kwahiyo kuwa katibu mkuu doesnt make u more trustworthy au crucial kuliko watu hardcore kama kina Heche/Lissu!!!

Hiyo ni principle mkuu, ndio maana hata Fc Barcelona licha ya kuwa hierarchy inasema kocha na Rais wa timu ndio wakubwa kuliko wachezaji ila bado captain wao ndio huamua nani asajiliwe nani aondoke!! Pia ilikuwepo kwa Totti pale As Roma. Seniority haipimwi kwa vyeo bali loyalty over time
 
Back
Top Bottom