Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Hayo mambo tulishayaacha huko zamani sasa hivi music,michezo ni biashara hivyo diamond, music unamalengo makuu matatu kuelimisha,kuburudisha na ajila sasa mtu ukichagua music kama ajila kuna ubaya gani? , wakina roma na ney wamechagua music wa uhanaharakati na kuelimisha kwani kuna ubaya gani tubadilike.sio "mume" sema "mmedandia gari kwa mbele"...BURNA BOY KWA AFYA YA JAMII
Ujitambui wewe, malengo makuu ya music (1)Ajila (2)burudani (1)kuelimisha yeye amechagua muziki kuwa ni ajila.Kwanza nyimbo zake za kitandani tu hazina lolote la kujifunza. Kmawe kura yangu siwezi kuwapigia wahuni. Angekuwa Christina Shusho ningempa kura.
Mkuu niwapi Tundu lissu kasema tusimpigie kura Dangote? Tundu anamjibu Goodluck kwamba asilazimishe upendo..ana sissitiza kua uzalendo sio kuunga mkono kila kitu hata kama ni kiovu...anasema Chibu hajawahi simama kwenye haki...maanake chibu anafata maslahi binafsi...pia kasema hata yeye yaani yeye Tundu sio muumini wa Dangote..Tundulisu si mungu wala malaika kwamba kila hoja yake iwe ya kusapotiwa na kila mtu,kama yeye alivyotembea nchi yote kuomba kura na ndivyo diamond anayo haki kuomba kura, na hoja ya kwamba analazimisha na uzalendo imetokana na baadhi ya wenye chuki na diamond kusema hawatompigia kura ndipo hao watetezi wa uzalendo walipoibuka lakini ukweli husiopingika no kuwa watu wanachuki binafsi na diamond kwa sababu za kibiashara,siasa na muziki kitu ambacho ni kawaida sana kwenye maisha lakini chuki zingebaki moyoni na sio kuanza kampeni kabisa kushawishi watu wasipige kura wazi wazi ni ujinga na aibu ikizingatiwa hiki si kipindi cha uchaguzi ni masuala ya burudani.
Ni wapi Lissu amesema shida yake ni kwamba Diamond "Yuko tofauti na CHADEMA"?Ningekubaliana na Lissu kama sababu za kutomuunga mkono Diamond zingekuwa ni performance ya kimuziki.Lakini kusema mtu yeyote ambaye yuko tofauti na CHADEMA sio mpenda haki huko ni kupotoka.
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.
Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.
Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.
Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.
Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.
Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.
Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Lissu anataka Diamond awe kama Nay wa mitego au Bob Marley ndio angemsapoti, yani ni kwamba chadema waislamu wasiswalishwe nyuma ya imamu ambaye ni ccm wanataka imamu awe kama Shehe Ponda.Wewe huelewi hata msingi wa hoja hii, Diamond ana uhuru wake wa kushabikia ccm haina shida, tatizo linakuja ni watu kulazimisha kwenye hiyo tuzo ya BET watu wampigie kura wote, chadema tumesema hatumpigii kwa kuwa kama msanii alishirikiana na watesi wetu na hakukemea maouvu ya dhahiri ya uvunjifu wa haki za watu, ndiyo msimamo wetu ninyi lumumba mpigieni , sisi hatumpigii mwimba nyegezi,Period.
Kura za wananchi wapi?Atahitaji kura za wananchi, acha ujuha wewe
Mwendazake kawaachia akili chafu.
Hahahaha unadhani kura za BET anapiga Mwijaku na Lissu? Nacheka kwa dharaaau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka hapo naseeb habebi tuzo, alijiharibia mwenyewe.
Ccm wote wakiungana kumpigia atashinda tuzo.
Sasa muulize Lissu anajifunza nini kwenye nyimbo za Nay wa mitego ambazo anaimba maisha mafupi anakula ujana? muziki ni burudani ndio maana unaweza kusikiliza wimbo hata kwa lugha usiyoielewa na bado ukaburudika, sasa hayo ya kuelemika sijui yanatoka wapi.Kwanza nyimbo zake za kitandani tu hazina lolote la kujifunza. Kmawe kura yangu siwezi kuwapigia wahuni. Angekuwa Christina Shusho ningempa kura.
Wakati hao akina Diamond wanafanya show kwenye kampeni za ccm watu si walijaa hadi mkawa mnasema wanategemea wasanii kwamba watu wanafuata wasanii tu?Wangejifunza toka kwa wanamuziki wa congo walishindwa kufanya show yeyeto ulaya kwa vikwazo vya macombatanti, sababu ya kumsapoti dikteta Kabila.Watawala wanapita wananchi wanaishi.
Uzuri watu wanajua kutenganisha burudani na haki, wanaccm ndio huwa hawajui kutenganisha haya mambo. Pigeni propaganda mtakavyo ila Diamond hapewi kura na wapenda haki kwani ameamua kujiunga na kundi la watu waovu wa ccm fullstop. Anejiona shabiki wa Diamond asiipe kura cdm.Lisu tukimuonya pia kwamba tabia yake ya kupiganiwa urais wake na amsterdam mtu wa nje ya nchi anawapoteza watz wengi maana watamuona anatumiwa na mabebru.
Hili la diamond, akumbuke kwamba kuna mashabiki kibao wa diamond anao huko chadema, sasa hizi chuki zake kwa diamond haoni kama anawagawa watu wake?
Hivi inakuwaje chadema ile ya dr slaa imekuwa mrenda mrenda kiasi hiki?
Hata ukiwa malaika ukajiunga na shetani wewe ni shetani, kama alijiunga na watesi wa kupinga haki za watu naye ni mtesi tuu hastahili kupewa na wanachadema, ccm wampeUzuri watu wanajua kutenganisha burudani na haki, wanaccm ndio huwa hawajui kutenganisha haya mambo. Pigeni propaganda mtakavyo ila Diamond hapewi kura na wapenda haki kwani ameamua kujiunga na kundi la watu waovu wa ccm fullstop. Anejiona shabiki wa Diamond asiipe kura cdm.
Kwa utawala ule wa jiwe Nan angezubutu kwenda kinyume ....angepoteza kila kitu kina Roma na ney hawakuwa na Mali yoyote yakutisha kuogopa jpm ..hvyo diamond alisoma upepo wa kisiasa
Kwa mjibu wa Mbowe Chadema hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025Subiria 2025 ulizo lako litapata majibu
Na Diamond atashinda hii tuzo asubuhi na mapema.Uzuri watu wanajua kutenganisha burudani na haki, wanaccm ndio huwa hawajui kutenganisha haya mambo. Pigeni propaganda mtakavyo ila Diamond hapewi kura na wapenda haki kwani ameamua kujiunga na kundi la watu waovu wa ccm fullstop. Anejiona shabiki wa Diamond asiipe kura cdm.