Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Siwezi kamwe kamwe kumuunga mkono jitu lililo kana baba yake hadharani.

Kwani hayo madini huoni serikali imesalimu amri kwa beberu kuendelea na shughuli ya kuyasafirisha.
JPM aliyashikilia huku akiwa hujui afanye nayo nini.
Tulimwomba tuyayachukue angalau tupandishe thamani nyumba zetu kwa kuyafetulia matufali.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Hivi kumbe wengi Sana ni mizigo eeh!! Na wewe ni mzigo pia
 
Udikteta ni kusema mchagueni yule maana huyu hayuko kwenye chama chetu.

Huo ni upumbavu kwa sababu diamond ana mashabiki wake ambao ni wanachadema pia!

Ndio maana ccm huwa inawagonga kila uchaguzi sababu ya mambo ya hovyo kma haya.
Waweke tume huru ya uchakuzi na kuonda uporaji wa dola halafu uje tena na kauli zako za mlenda.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kumbe wengi Sana ni mizigo eeh!! Na wewe ni mzigo pia
Sasa kama walioshikilia makenikia sii mzigo si wangeyachakata?
Beberu sasa karuhusiwa kuendelea kusafirisha kwao bila kuwalipa chochote ila kuendelea na makubaliano ya awali ya mgawanyo.
Tundu lissu katoa maoni yake kama Tundu lissu kwa akili finyu za wanaojiiti wasafi huku tukiwaona ni wachafu mnazivuta kuzihusisha na Chama.
Sasa watu wa chama tupo na tunasimamia kutetea chama hadi tone la mwisho.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama walioshikilia makenikia sii mzigo si wangeyachakata?
Beberu sasa karuhusiwa kuendelea kusafirisha kwao bila kuwalipa chochote ila kuendelea na makubaliano ya awali ya mgawanyo.
Tundu lissu katoa maoni yake kama Tundu lissu kwa akili finyu za wanaojiiti wasafi huku tukiwaona ni wachafu mnazivuta kuzihusisha na Chama.
Sasa watu wa chama tupo na tunasimamia kutetea chama hadi tone la mwisho.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mzigo tu!!
 
Wasafi ndio kitu gani jiulize vijana wangapi hawaipend ccm ambapo huyu diamond ndio chama chake je walishamchukia?????? Sasa Lissu kutomuunga mkono diamond haimanishi vijana wataacha kuipenda chadema hvyo kuamin hvyo ni ujinga mkubwa, kumbuka cha Chadema n taasisi syo mtu.
 
Lissu sasa hivi ni wa kushindana na Mange Kimambi tu, na nakuhakikishia Mange atambwaga. Mange ni mwanaharaki mwenye agenda imyojulikana wakati Lissu ni personality tu asiyekuwa na agenda yoyote ila Magufuli tu ambaye hayupo tena.
 
Hao ndio huwa wanaipa ccm ushindi ila kwa akili zako na kina Lisu unaona hawana impact

Hamna kijana anaipa kura ccm, labda msaka fursa na asiyejitambua. Ccm ingekuwa inategemea kura kushinda uchaguzi isingejiegemeza kwenye vyombo vya dola.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Lissu sasa hivi ni wa kushindana na Mange Kimambi tu, na nakuhakikishia Mange atambwaga. Mange ana agenda imyojulikana wakatoi Lissu ni personality tu asiyekuwa na agenda yoyote ila Magufuli tu.
Nani apoteze mda kumsikiliza Lissu.....!!! Kwa Lissu Maghufuli alikuwa na hoja ya msingi , tena kama akijiingiza kwenye Sanaa huku ndo ataharibu kabisa
 
Hamna kijana anaipa kura ccm, labda msaka fursa na asiyejitambua. Ccm ingekuwa inategemea kura kushinda uchaguzi isingejiegemeza kwenye vyombo vya dola.
Propaganda hizi, unasemaje??
 
Nakuhurumia kwa sababu haulijui jeshi halisi la Wasafi ni kina nani. Labda kama Lissu Hana mpango wa kugombea tena urais. Kama ungelijua jeshi nalolizungumzia ungeskitikia chama chenu.
Hakuna kitubkama hicho. Mwajichanganya sana.
 
Back
Top Bottom