Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Masikini ya Mungu...daaah
 
Reactions: BAK
Watu gani unawazungumzia wale waliyokuwa wanapigwa na jua kwenye mikutano ya ccm au wale waliyovunja geti la Airport ili kuaga mwili wa Magufuli? Au unazungumzia hawa timu Mondi na Ali kiba?
 
Kwahiyo hapo ulipo nawe unajiita kijana wa kisasa?? Wewe ni f.ala
 
Hata ukiwa malaika ukajiunga na shetani wewe ni shetani, kama alijiunga na watesi wa kupinga haki za watu naye ni mtesi tuu hastahili kupewa na wanachadema, ccm wampe
Kwahiyo hata mama Samia rais wetu kipenzi nae ni shetani kwa sababu alijiunga na mtesi hadi mwisho wake?
 
Enzi za kauli Kama hizi na uandishi Kama huu ziliisha pale MSALABANI
 
Tuoneshe wapi mondi analilia kura kwa nguvu au umedandia treni kwa nyuma
Kwani wewe sii mmoja wa jeshi la wasafi tv.
Kusudi lenu kuanzisha hii post ni nini ila kupingana na wale wanaotaka kutumia haki yao ya kuchagua?
Kwamba eti hawana uzalendo. Uzalendo ni kusimama na taifa hasa haki za wanaodhulumiwa sii kuungana na mtawala dikteta katika kufanyia vurugu haki ya binadamu hadi haki ya kuishi kama alivyo fanya mondi.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Mwandishi usilete ushabiki wako na ukataka kila mtu akuunge mkono wewe ni haki kila mtu kushabikia kile anachokitaka wala si lazima eti kisa diamond ni mtanzania mwenzetu kumbuka juzi tuu simba ilipocheza na timu ya mpira toka South Africa sio watanzania wote walishabikia simba.

Wewe kama una mihemko yako endelea nayo si lazima utulazimishe.
 
Wasafi wakiwa ni wa mavazi na muonekano pekee huku wakisahau usafi katika utu na haki ,Hakuna Mtanzania atakaye waelewa.
Unafikiri kama wewe unywi chai ndio wote tusinywe?? ....acheni kuifanya Sanaa iwe siasa ......yeye alitumika kama mtumbuizaji na akalipwa chake Tu...hayo mengine ni ya kwenu ....ndio labda na lissu angekuwa anataka kuimba wangeimba wote lakini usirete jilas ya kibwege bwege
 
Akaombe kura alipoleka mboga sasa
Sijui umeandika nini masikini??😳😳 Kwani uliona wapi ameandika nataka Kura zenu kama lissu alivosemaga na kuifanya mikutano😂😂😂1?????
 
Yawezekana Diamond hakuwa na nguvu ya kuupinga utawala dhalimu lakini nina hakika alikuwa na uwezo wa kutoshabikia utawala dhalimu.

Mtu yeyote mwenye hekima na utu, bila ya kujali mlengo wake wa kisiasa, hawezi kumshabikia kiongozi muuaji, mtekaji na mpotezaji wa watu wanaomkosoa. Mtu mwenye Roho wa Mungu na utu, kamwe hawezi kumshabikia kiongozi anayeagiza watu kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu, kwa lengo tu la kutaka kuwatesa gerezani.

Diamond kumshabikia marehemu wakati wa kampeni huku ajijua kabisa anashabikia mtu ambaye amefanya uovu mwingi dhidi ya wanadamu wenzake, tayari na yeye anakuwa sehemu ya huo uovu.
 
Sidhani kama unaelewa hata konachojadiliwa.

Hivi kuna mahali Lisu amewalazimisha watu wasimpigie kura Daimond? Tenganisha kulazimisha na kushawishi.

Lakini pia upo mbali kabisa na uelewa, kufikiria kuwa qanaotakiwa kupiga kura ni wapenda mziki tu.

Cha kusikitisha zaidi unaandika vioja - eti Lisu hamfikii Diamond kwa utajiri ja umaarufu. Hivi kuna shindano kati ya Diamond na Lisu? Ni lipi hilo, na unapigaje kura?
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Dogo mshamba sana
Umepovuka kijinga
 
Ujumbe mujarab kabisa. Juu yao kuufanyia kazi wabaki hai siasani au wauache wapotee zaidi ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…