Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Andiko refuuu, lakini ni ujinga tupu

Mzee wa MIGA na wewe wote ni walewale, upuuzi tupu

Ni zaidi ya akili kubwa iliyotumika kuwavuta hao mabwana zenu kuja ku negotiate na serikari, sio kama ulivyolidaka wewe na huyo mhuni wenu, 1.4 t. Ni nguvu ya akili kubwa kuwatingisha hao ndugu zenu na baada ya hapo, ushindi uliuona mwenyewe, hakuna cha MIGA wa nduguye, na sasa tunakula matunda yake ukiwamo wewe,
Masikini ya Mungu...daaah
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Uzuri watu wanajua kutenganisha burudani na haki, wanaccm ndio huwa hawajui kutenganisha haya mambo. Pigeni propaganda mtakavyo ila Diamond hapewi kura na wapenda haki kwani ameamua kujiunga na kundi la watu waovu wa ccm fullstop. Anejiona shabiki wa Diamond asiipe kura cdm.
Watu gani unawazungumzia wale waliyokuwa wanapigwa na jua kwenye mikutano ya ccm au wale waliyovunja geti la Airport ili kuaga mwili wa Magufuli? Au unazungumzia hawa timu Mondi na Ali kiba?
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Kwahiyo hapo ulipo nawe unajiita kijana wa kisasa?? Wewe ni f.ala
 
Hata ukiwa malaika ukajiunga na shetani wewe ni shetani, kama alijiunga na watesi wa kupinga haki za watu naye ni mtesi tuu hastahili kupewa na wanachadema, ccm wampe
Kwahiyo hata mama Samia rais wetu kipenzi nae ni shetani kwa sababu alijiunga na mtesi hadi mwisho wake?
 
Lisu tukimuonya pia kwamba tabia yake ya kupiganiwa urais wake na amsterdam mtu wa nje ya nchi anawapoteza watz wengi maana watamuona anatumiwa na mabebru.

Hili la Diamond, akumbuke kwamba kuna mashabiki kibao wa diamond anao huko chadema, sasa hizi chuki zake kwa diamond haoni kama anawagawa watu wake?

Hivi inakuwaje chadema ile ya dr slaa imekuwa mrenda mrenda kiasi hiki?
Enzi za kauli Kama hizi na uandishi Kama huu ziliisha pale MSALABANI
 
Tuoneshe wapi mondi analilia kura kwa nguvu au umedandia treni kwa nyuma
Kwani wewe sii mmoja wa jeshi la wasafi tv.
Kusudi lenu kuanzisha hii post ni nini ila kupingana na wale wanaotaka kutumia haki yao ya kuchagua?
Kwamba eti hawana uzalendo. Uzalendo ni kusimama na taifa hasa haki za wanaodhulumiwa sii kuungana na mtawala dikteta katika kufanyia vurugu haki ya binadamu hadi haki ya kuishi kama alivyo fanya mondi.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Mwandishi usilete ushabiki wako na ukataka kila mtu akuunge mkono wewe ni haki kila mtu kushabikia kile anachokitaka wala si lazima eti kisa diamond ni mtanzania mwenzetu kumbuka juzi tuu simba ilipocheza na timu ya mpira toka South Africa sio watanzania wote walishabikia simba.

Wewe kama una mihemko yako endelea nayo si lazima utulazimishe.
 
Wasafi wakiwa ni wa mavazi na muonekano pekee huku wakisahau usafi katika utu na haki ,Hakuna Mtanzania atakaye waelewa.
Unafikiri kama wewe unywi chai ndio wote tusinywe?? ....acheni kuifanya Sanaa iwe siasa ......yeye alitumika kama mtumbuizaji na akalipwa chake Tu...hayo mengine ni ya kwenu ....ndio labda na lissu angekuwa anataka kuimba wangeimba wote lakini usirete jilas ya kibwege bwege
 
Akaombe kura alipoleka mboga sasa
Sijui umeandika nini masikini??😳😳 Kwani uliona wapi ameandika nataka Kura zenu kama lissu alivosemaga na kuifanya mikutano😂😂😂1?????
 
Yawezekana Diamond hakuwa na nguvu ya kuupinga utawala dhalimu lakini nina hakika alikuwa na uwezo wa kutoshabikia utawala dhalimu.

Mtu yeyote mwenye hekima na utu, bila ya kujali mlengo wake wa kisiasa, hawezi kumshabikia kiongozi muuaji, mtekaji na mpotezaji wa watu wanaomkosoa. Mtu mwenye Roho wa Mungu na utu, kamwe hawezi kumshabikia kiongozi anayeagiza watu kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu, kwa lengo tu la kutaka kuwatesa gerezani.

Diamond kumshabikia marehemu wakati wa kampeni huku ajijua kabisa anashabikia mtu ambaye amefanya uovu mwingi dhidi ya wanadamu wenzake, tayari na yeye anakuwa sehemu ya huo uovu.
 
Sio kila atachosema Lissu ndio kifuatwe na kila mtu, na sio kila anayekuwa kinyume chake anakuwa mhaini, akili kama hizi, ndio udicteta,

Lissu aamini anachoamini, na sio kulazimisha wengine kuamini anachoamini kwamba ni sahihi

Tutakuwa Taifa la kijinga Sana kama wote tutakuwa kama Lissu ama kama mawazo ya Wana chadema

Daimond atapigiwa Kura na Watanzania wapenda mziki na sio wanachama wa Chama cha awaye yote, mwanasiasa kuingia malumbano na mwanamziki, ni ujinga mtupu, Kwanza ieleweke, Lissu na Daimond ni watu wawili tofauti, na kila mmoja ako na mtazamo wake na focus zao ni tofauti

Halafu ukweli mwingine ni kwamba, Lissu Kwa namna yoyote Ile na Kwa Hali yoyote Ile, hawezi kumfikia Daimond kiuchumi na pengine kiushawishi hawezi, Ila atamzidi kielimu n.k

Kwa hiyo, niungane na mwandishi kuwa, Lissu ameamua kucheza Ngoma asiyoiweza
Sidhani kama unaelewa hata konachojadiliwa.

Hivi kuna mahali Lisu amewalazimisha watu wasimpigie kura Daimond? Tenganisha kulazimisha na kushawishi.

Lakini pia upo mbali kabisa na uelewa, kufikiria kuwa qanaotakiwa kupiga kura ni wapenda mziki tu.

Cha kusikitisha zaidi unaandika vioja - eti Lisu hamfikii Diamond kwa utajiri ja umaarufu. Hivi kuna shindano kati ya Diamond na Lisu? Ni lipi hilo, na unapigaje kura?
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Be honest. Wewe ni m-nazi mkubwa wa CCM, period. Siku zote, “the devil is in the details “. Na manazi wa CCM mnakimbilia kauli rahisi rahisi kukwepa ukweli. Lissu mara nyingi ameleezea umuhimu wa kushughulikia masuala yanayohusu mikataba ya kimataifa tuliyosaini kama taifa kwa kuzingatia sheria zake. Kwa kutofanya hivyo tumejikuta tukishindwa kesi kadhaa tulizoshitakiwa na wawekezaji/makandarasi na kulipa faini kubwa au rasilimali zetu kama ndege kushikiliwa. Ndio sababu nguvu kubwa imekuwa ikutumika kuzuia habari zisitoke.
Hii kauli ya “tutashitakiwa MIGA” si ya mtu aliyeenda shule. MIGA si mahakama au jela. Ni mkataba unaosimamia uwekezaji kimataifa. Tanzania imesaini. Lissu alielezea vizuri sana. Na uzuri wenyewe ni kuwa baada ya ile maneno, serikali ilizingatia kikamilifu. Ndio maana yale madai feki ya trilioni 1.4 (noah kwa kila mtz) yaliyeyuka kama mvuke.
Kuhusu USA Republicans na Democrats WANAPISHANA KWA SERA. Sera za Republicans ni kupunguza ukubwa, nguvu na matumizi ya serikali kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii na kuimarisha vyombo vya dola (law and order). Aidha, kupunguza kodi, kuimarisha sekta binafsi na kubania uhamiaji hasa toka sthl countries. Sera za Democrats ni kuongeza kodi, matumizi ya serikali kwenye misaada ya kiuchumi (financial rescue packages) kuongeza mishahara (minimum wage limit), huduma za afya (kumbuka Obamacare), uimarishaji miundombinu, kusaidia wanaokimbia nchi nchi zenye ukandamizaji (asylum seekers), kuongeza misaada nchi masikini, nk.
Tanzania uelewa wa wengi kuhusu itikadi, sera, mikakati ni karibia na zero. Ndio maana kuna kauli za kijinga sana (ignorant) kama: “maendeleo hayana chama”, “kugombea fito katika kujenga nyumba moja”, “nilipiga chini upinzani”, “CHADEMA na CCM wote ni sawa”... Kiuhalisia, kwa jinsi uelewa wetu wa haya mambo ulivyo finyu, na ushabiki mkubwa wa propaganda, hatutaweza kuwa na mfumo wa maana wa vyama vingi vya siasa nchini. Multiparty politics are simply doomed here.
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Dogo mshamba sana
Umepovuka kijinga
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Ujumbe mujarab kabisa. Juu yao kuufanyia kazi wabaki hai siasani au wauache wapotee zaidi ya sasa.
 
Back
Top Bottom