Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Mungu mwenyewe mwanzilishi wa mfumo wa demokrasia ametupa uhuru wa kumfata au lah,kwanini mnalazimisha kila mtu amchague Diamond, huo ndiyo udikteta uchwara, amesema mapenzi hayalazimishwi hivyo ni haki yake na demokrasia kumpigia ampendaye siyo lazima diamond na ameweka vigezo vyake anampa mtu mpenda kupigania haki, msilazimishe watu ninyi lumumba
Alafu Mungu hajaanzisha Demokrasia. Usitukaange..mzee.
 
Chama hakina ajenda zaidi ya kudandia trending issues hata zisizo na mashiko. Chadema hawapendi kukosolewa JPM nafuu! Hivi makamu mwenyekiti anaingia kwenye malumbano ya akina Diamond kweli?

Hawa kwao kikwazo si alikuwa mwendazake? Sasa watakuwa exposed jinsi wasivyo na ajenda.
Inategemea ameongea kuhusu mtu huyo ktk mazingira gani...

Inawezekana, it was just on the way. Hakuwa ajenda rasmi na kujikuta anaulizwa swali la "wewe ni mpenzi wa muziki wa Diamond Plutimuz..?"

Sasa hata kama ungekuwa wewe ingekulazimu useme neno tu juu ya mtu uliyeulizwa ambaye kwako si ajenda kabisa...

Ungesema aidha unaupenda au huupendi musiki wake kwa sababu huyo hajawahi kuwa mpinga maovu na ofcoz ndivyo ilivyo...

Hili halina uhusiano na CHADEMA. Agenda ya CHADEMA kwa sasa ni ujenzi na uimarishaji wa chama na Katiba mpya...

Niambie ajenda yenu ACT na CCM kwa sasa ni nini...?
 
maisha ya wanadamu wengi waliofanikiwa walijipendekeza huo ndio ukweli
chunguza utaona
kama unabisha angalia mkeo anaogopa simu ya nani kati ya yakwako na boss wake? au wewe simu ya boss wako na baba yako
Itagemea unapimaje mafanikio. Kwa mtazamo wako wakina Mkwawa, Kinjeketile, Marcus Garvey, Malcolm X, Muhammad Ali, Steve Biko, Martin Luther King Jr, Sojourner Truth, Dedan Kimathi, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Patrice Lumumba, Ken Saro-Wiwa, Che Guevara, Marvin Gaye, Bob Marley, Gil Scott-Heron, Billie Holiday, Julius Nyerere, Desmond Tutu, General China, Franz Fanon na wengine wengi walikuwa loosers kwa sababu walikataa kujipendekeza kwa wenye mamlaka?

Amandla...
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
"Team Kiba".... embu njooni huku kuna mtu anavuta sharubu zenu bana!!
 
Diamnond ataaangukia pua kama alivoangukia pua Magufuli vs yule rais wa Ghana. Huu ulikuwa uthibitisho tosha tu kuwa uchaguzi Tanznia chini ya tume huru, CCM ingekuwa ishapigwa teke miaka mingi sana. Uzuri wenyewe hata Polepole mwenyewe analijua hili na alikiri kwa kinywa chake!!
 
Mmeshikwa pabaya[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]

Mnatapatapa
 
Anaimba kile kinachopendwa na kizazi hiki!

Kwani huoni ndie msanii nwenye mashabiki wengi hapa nchini?
Mpendwa
Kwa hiyo kizazi hiki mnajivunia waziwazi kupenda lugha chafu za hovyo hivyo za kishetani.
Mnajivunia kupotoka na kurudi enzi za Loti za Sodom & Gomora? (Mwanzo 19:14)
Kwa kweli ninashindwa kuamini kama hiyo ndo maana yako.
Wewe na hao wenzio na huyo mwimbaji wenu, mwahitaji kuongozwa kwenye sala TOBA.
Mjitafakari na kutubu ili muweze kumrudia Mungu muumbaji wenu kwa unyenyekevu. Mmeshafika Pabaya.
 
Dimond akijiingiza kwenye siasa jua anakaribia mwisho wake
 
Mbona siwaelewi nyie maccm.
Huyi Diamond atapigiwa kura na wanaccm wenzake,sababu ndiyo anaowatetea,sisi tunaojitetea hatutampigia kura.
Na hiyo ndiyo demokrasia.
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Vile ambavyo Diamond hakumuunga mkono Lissu kwenye harakati zake ni uhuru wake wa kuchagua kitu apendacho....Kwanini inakuwa tatizo kwa Lissu kutomuunga mkono Diamond?Na yeye si ana haki ya kuchagua apendacho?
 
Wacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.

Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
Ccm si inatumia dola kuwa madarakani na kwamba wananchi wameichoka hadi kwenye mikutano yao huwa wanakusanya wanafunzi na kuwachukua watu kwenye mafuso, sasa chama cha aina hiyo inawashughulisha nini hata wasanii wakiwa upande wao kiasi hadi cha kujiingiza kwenye kampeni kama hizi kwa hao wasanii?
 
Mpendwa
Kwa hiyo kizazi hiki mnajivunia waziwazi kupenda lugha chafu za hovyo hivyo za kishetani.
Mnajivunia kupotoka na kurudi enzi za Loti za Sodom & Gomora? (Mwanzo 19:14)
Kwa kweli ninashindwa kuamini kama hiyo ndo maana yako.
Wewe na hao wenzio na huyo mwimbaji wenu, mwahitaji kuongozwa kwenye sala TOBA.
Mjitafakari na kutubu ili muweze kumrudia Mungu muumbaji wenu kwa unyenyekevu. Mmeshafika Pabaya.
Kwa hiyo Lisu anamchukia diamond sababu anaimba vitu vya duniani?
 
Wasafi wakiwa ni wa mavazi na muonekano pekee huku wakisahau usafi katika utu na haki ,Hakuna Mtanzania atakaye waelewa.
Watanzania wangekuwa wanawaelewa hao Roma na Nay basi sasa hivi ndio wangekuwa wanapigiwa kura ila hali ipo tofauti.
 
Back
Top Bottom