Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

wewe ndiyo mjinga, hatujasema asishabikie CCM ama CDM ama ACT, tunasema msanii ni lazima asimamie upande wa HAKI. akipoona HAKI inapokwa kwa upande wowote ule basi ateteee sababu ana wafuasi kibao, kazi ya msanii si kuimba tu na kukusanya hela ya kiingilio, He/ she has to go extra miles away kwenye upande wa Justice.

Vuguvugu la HAKI katika nchi nyingi duniani huanzishwa na wasanii...., Msanii anayejitenga na HAKI huyo ni msanii wa kuchumia tumbo lake.
Kila mtu anatafsiri yake ya neno HAKI kutokana na upande alipo,hata Che guevera upande wa nchi kama Cuba walimuona ni mpigania haki wakati nchi kama marekani walimuona gaidi,same to Osama bin laden au Magufuli.So usilazimishe Diamond hakupigania HAKI sema hakuwa upande wako wa chama tutakuelewa.Na pia kuna mziki na harakati za kisiasa,sio kila mwanamziki anakuwa mwanaharakati.Ingawa kuna wanamziki walikuwa pia wanaharakati kama Bob Marley.
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Dogo hapa umechapia kabisa!
CCM chama Cha watoto wa mjini? Hapana! CCM inajulikana kama chama cha wananzengo wasio na elimu na wanavijiji! Watoto wa mjini hapana!

Labda utuambie watoto wa mjini wamefuata masilahi huko CCM. Wamesumbuliwa njaa..wameenda kuhemea!
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Vita gani mnaweza nyie wanaume wa Dar! Wachafu tu wala hamna usafi wowote, usitishe watu!
 
Mkuu hivi unafahamu maana ya Demokrasia kweli, sasa wote tukiwa chama kimoja (upinzani) kuna haja gani ya kuwa na mfumo wa vyama vingi.??
JIBU HILI,
Wanajeshi Wana vyama, Dimond alitakiwa aishi Kama hao ili kutengeneza mahusiano mazuri na wananchi tasnia aliyonayo.

Mtambue siasa alizofanya magu zilikuwa za uadui na wote waliojiingiza kwenye siasa zile wanachukiwa mpk mwisho wa dahari
Mifano

1. Makonda hatapendwa
2. Sabaya( watu wanashangiria yanayompata)
3. Mnyeti
4. Mwigulu nchemba, uteuzi wake unalamikiwa nk
Walikuwa kwenye siasa za magu
Mfano mwingine kijana Good luck Gosbet, alipoimba wimbo Hauwezi kushinda, wengi tuliupenda lakini alipoitwa na kuzunguka na magu kwenye misafara yake, ikawa ameutia kinyesi wimbo ule
Na umaarufu ukashuka.
 
Wacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.

Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
CCM kama imechukuwa wasanii shida iko wapi wakati nyinyi mna mabeberu
 
Sidhani kama umewahi kuzitafuta agenda za Chadema ukazikosa, google utazipata.

Kwahiyo Lissu asitoe maoni yake kwasababu Diamond kahusika! wacha ushamba.
Mimi nitafute ajenda zao? Are you mad? Sawa wakae nazo maana najua Kiki za press conference kuhusu mwendazake zimeisha sasa watu wanataka hesabu! Fanyeni siasa sasa!
 
Sadala hamuungi mkono Lissu na Lissu naye hamuungi mkono Sadala sasa shida iko wapi? Kwa nini hamtaki Lissu kuelezea hisia zake?
Issue sio hizo hisia zake bali ni huko kutaka hizo hisia zake kwa Magufuli ndio kila mtu awe nazo hizo hizo, yani anataka kila msanii awe kama Roma au Nay sasa huo si ushamba?

Wasiomsapoti Diamond ni wengi tu na sio issue maana kila mtu ana maamuzi yake ila yeye Lissu anaingiza issue zengine kabisa kwamba hakutaka kumuona Diamond kwenye kampeni za Magufuli kwa sababu yeye na Magufuli hawaelewani hivyo ndio sababu ya yeye kutomsapoti Diamond,sasa huo ni ushamba.
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Ulichoandika hapa ni utumbo aliekuambia CDM inataka support ya watu wasiojielewa kama nyie mnaojiita sijui wasafi sijui wachafu nani?
 
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Halafu jambo la ajabu Lisu ameanza kumtetea Ole Sabaya eti atendewe haki wkt huyu jamaa alikuwa mstari wa mbele kunyanyasa wapinzani huko Hai. Hivi kweli Diamond ameleta madhara yoyote kwa jamii akilinganishwa na Ole Sabaya? Really?
 
Anataka asionewe. Anakosoa utaratibu wa kumweka ndani kwa muda mrefu kwaajili ya mahojiano kitu ambacho kisipokemewa kinaweza tumika hata kwako wewe na ni kinyume cha sheria. Muwe mnasoma vizuri na kuelewa.
 
Roma na Ney ni Chadema kwa namna ile ile Diamond alivyo CCM! Hawa wamezoea kuwageuza wanachama wao kama wanaharakati huru while ni watu wa ufipa! Ndio maana CCM wakaiga kupitia Musiba wakaanza kulialia.

Tunajua Roma si mwanaharakati ni Chadema na si kitu kibaya! Tatizo ni wanapotaka kugeuzia kibao wale wa CCM! Hivi hawa tukiwapa nchi waliokinyume nao si watapigwa risasi hadhari!

Siasa zina mipaka, wakati wa uchaguzi watu wako huru kusimama na upande wowote ila ajabu watu wa Chadema hugeuza hilo uadui! Leo huko Marekani bado kuna team Biden vs Trump? Watu wameshasahau maisha yanaendelea.

Watu wamesahau yaliyotokea wakati wa uchaguzi na baada yake Marekani????!!!!!Ungetafuta mfano mwingine, sio huu.

Amandla...
 
Kwani Lisu ameongea kwa niaba ya Chadema? Au mi ndio sielewi.
Ndio ujue kwamba hawa vijana uwezo wa kuchanganua mambo ni mdogo

Sio kila mwanaccm au mwanachadema akiongea anakiwwkilisha chama

Kama ni hivyo hata nabii Tito na yale mabango yake anakiwakilisha chama cha CCM
 
Unamaanisha Wasafi ni zaidi ya CCM, polisi na Dola yote? Tuulize wakubwa nguvu ya CHADEMA tukueleze. Unadhani kuzuia shughuli za kisiasa ilikuja kama ajali?
 
Wacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.

Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
Kwani aliwaomba chadema au ccm aliomba kura kwa watanzania waompenda nyie wapigieni kura wakina roma na ney hajawalazimisha sasa harakati za nini kwenye muziki kama tumekubaliana kuwa democrasia ni kuchagua unachoamini yeye aliamua kuchagua CCM na ney alichagua chadema lakini halakati ni hiyari ya mtu musilazimishe kila mtu awe mwanaharakati
 
Issue sio hizo hisia zake bali ni huko kutaka hizo hisia zake kwa Magufuli ndio kila mtu awe nazo hizo hizo, yani anataka kila msanii awe kama Roma au Nay sasa huo si ushamba?

Wasiomsapoti Diamond ni wengi tu na sio issue maana kila mtu ana maamuzi yake ila yeye Lissu anaingiza issue zengine kabisa kwamba hakutaka kumuona Diamond kwenye kampeni za Magufuli kwa sababu yeye na Magufuli hawaelewani hivyo ndio sababu ya yeye kutomsapoti Diamond,sasa huo ni ushamba.
Siyo kweli kuwa Lissu anataka wasanii wote wawe kama Roma, bali ameeleza sababu za kutomsapoti Sadala. Wanaomsapoti Sadala wanataka kila mtu amsapoti kuonyesha uzalendo kwa kuwa ni Mtanzania mwenzetu kitu ambacho ni upuuzi!

Lissu amesema hawezi kumsapoti mtu ambaye hakuonyesha kukerwa au kuumizwa na maovu ambayo serikali iliwafanyia wananchi wake!

Ushamba ni kijifanya mzalendo kwa kusapoti wale wanaowashangilia watu ambao wametumia madaraka yao vibaya kwa kuwatesa wananchi wenzao.
 
Unamaanisha Wasafi ni zaidi ya CCM, polisi na Dola yote? Tuulize wakubwa nguvu ya CHADEMA tukueleze. Unadhani kuzuia shughuli za kisiasa ilikuja kama ajali

Mungu mwenyewe mwanzilishi wa mfumo wa demokrasia ametupa uhuru wa kumfata au lah,kwanini mnalazimisha kila mtu amchague Diamond, huo ndiyo udikteta uchwara, amesema mapenzi hayalazimishwi hivyo ni haki yake na demokrasia kumpigia ampendaye siyo lazima diamond na ameweka vigezo vyake anampa mtu mpenda kupigania haki, msilazimishe watu ninyi lumumba
Hivi ni nani amewalazimisha chadema kumpigia kura diamond nyie mumerukia gari kwa mbele baada ya kumuona kigogo katoa msimamo wake, yeye ameomba kura kwa watanzania na si kwa chadema wala lisu mbwa nyie
 
Huko ni kuchanganikiwa mpaka unatukana?
 
Back
Top Bottom