Asiyeaminika ni Mbowe.Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Lissu yuko sawa mbowe hana tena mvuto kwa wanachama wanaopiga kura, anawaza kuiba kura ili abaki kuwa mwenyekiti kwa nguvu zote, amesahau yeye kurudi tena mwenyekiti chadema ndio bybyLissu aache kutafuta huruma za kijinga
Kwenye hao mawakala na chawa wanaojidai kuwa upande wa mbowe wengine sio wake ni watu wema kwa lissuHuyu jamaa shida sana sasa huyo aliemwambia hizo habari ye kazijuaje ? Halafu ye kila anachoambiwa basi anaamini !
Huyu kama Iddi Amin alipokuwa akiota tu fulani basi kesho yake ni masaibu !
Mshamba mkubwa kabisa huyu wenzake wanaficha bullet pfoof wanavaa kwa ndani ya koti au nguo ye anaonyesha hadharani ni ushamba tu na ulimbukeni
vibaya mnoo na ukisikiiza haya mahojiano ya online Lissu ndio amemgaragaza kabisa mbowe, nadhan mbowe anajutaa kuongea upuuzi mduchu siku alipoenda kuchukua formTundu lissu atampiga chini mbowe
Mbowe hana namna hakubaliki tena kwenye chama na haya mahojiano anayoendelea nayo Lissu amezidi kumuua mbowe kumbe chadema kuna ujinga wa hali ya juuKumbe hata huko kuna kura feki? Ha ha ha😁
Mbowe ndo ana tapata kumbe mbowe alipotoka jela kwenda Ikulu haikuwa rai ya chadema ni kwa matakwa yake na mama abdul sasa Lissu ameeka wazi kwenye mahojiano yaani ni hatari kumbe chadema kuna mamluki sanaNdugu Tundu Lissu ANATAPATAPA ...
Aache visingizio.....ha ha ha ha
Lissu alisema mapema kitakachojiri atakizungumza hadharani, mbowe hana namna kushinda uchaguzi Lissu anazidi kubomoa huko siri za mbowe na ccm kumbe chadema hamna kitu yale maridhiano ni ya mbowe mwenyew tuDalili za mvua ni mawingu.
Lissu ni mtu ambae anajiandaa kushindwa.
Anaanda tu mazingira ya kupinga matokeo.
What a bad looser.
Ccm wanashirikiana na genge la mbowe ili Lisu asishinde kwa gharama yeyote ile.Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Moto huwakeTundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Ayatollah Mbowe ameanza kutoaminika Chadema lini?Asiyeaminika ni Mbowe.
1. Kwann amtime wenje na Abdul ili kwenda kumnunua Lisu?
2. Kwann anapokea fedha za hongo toka ccm?
3. Kwann hataki kung'atuka?
4. Kwann aliwatuma akina Halima Mdee bungeni lkn akaudanganya umma kuwa wamejipeleka wenyewe.
Na asiposhinda mwambieni aanzishe chama chake!Ccm wanashirikiana na genge la mbowe ili Lisu asishinde kwa gharama yeyote ile.
Nkurunziza wa MachameAyatollah Mbowe ameanza kutoaminika Chadema lini?
wajumbe wengi wa kamati kuu ya Chadema ni undercover wa Tiss, wamepandikizwa Chadema ili kulinda maslahi ya tiss. Je, unajua kwamba hata yule aliyekuwa Msemaji wa Chadema ni mtumishi hai wa Tiss hadi leo hii? Unalijua hili?Hao TISS watamzuia mjumbe kupiga kura? Watamzuia Lissu kuweka wakala wakati wa kuhesabu kura? Watazuia kura kupigwa na kuhesabiwa hadharani?
wajumbe wengi ni undercover wa tiss, wanamuunga mkono mbowe. TAL hawezi kushinda.Ana wa mtandao ila hana wajumbe
Kura ni wajumbe wala siyo keyboards mkuu
siyo conspiracy, ni ukweli. wajumbe wengi wapigakura ni mapandikizi, ni undercover wa tiss, wanamuunga mkono mbowe. TAL hawezi kushinda.Mi naona kama ni conspiracy. CDM ndo tabia yao Sema tu hawakuwahi kuwa na mtu mwenye audacity ya kuwa exposed hadharani.
Issue iliyoko mbele ni upigaji kura kumchagua m/kiiti. na kila mjumbe halali atapiga kura. Hata kama baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ni TISS bado ni wajumbe halali wenye haki ya kupiga kura shida iko wapi.wajumbe wengi wa kamati kuu ya Chadema ni undercover wa Tiss, wamepandikizwa Chadema ili kulinda maslahi ya tiss. Je, unajua kwamba hata yule aliyekuwa Msemaji wa Chadema ni mtumishi hai wa Tiss hadi leo hii? Unalijua hili?
Kwa hakika wewe ni Mtoto wa Shule, nachelea kusema huna uelewa wowote kuhusu uongozi hivyo naomba nikupe somo kidogo kuhusu uongozi.Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!