PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anatumia lugha ngumu kueleweka na kutokana na hiyo slogan kuwa ngumu kutekelezeka pia.
 
Amani ya Tanzania haichezewi hata siku moja na yeyote kwa sababu yeyote iwe halali au sio halali

Cheza na kila kitu Tanzania, tukana hata viongozi wa siasa au serikali matusi hata ya nguoni

Ukigusa kuvuruga amani haijalishi mtu ni nani yuko CCM au upinzani mkubwa au mdogo ana akili timamu au hana lazima kiwake tena kiwake hasa kuhakikisha amani haitoweki Tanzania kwa gharama yeyote hata kama itahusisha uhai wa mtu kuondoka

Kipaumbele cha kwanza cha Tanzania ni amani sio uchumi wala siasa wala demokrasia wala uchaguzi huru,wala Elimu,Kilimo nk ni Amani ndicho Kipaumbele kikuu cha nchi

Ndio Kipaumbele namba moja

Kila Mjaribu kuvuruga amani anatakiwa ajue hilo.Kuwa hicho Kipaumbele hakichezewi
Akichezea ni kwa risk yake mwenyewe
Matahila kama wewe hawakosekani kwenye jamii. Amani gani unayo iongerea amani ya kuteka watu au amani ya kuiba kura? Au unafikiri amani ni kumwachia Samia na ccm wauze nchi kwa wageni halafu watanzania wajikute wanakuwa kama wapalestina?
 
Amani ya kuiba kura?
Kura huwa zinaibiwaje wakati kwenye vituo vya kura huwa huko ndani kuna mawakala wa vyama vyenu?

Kazi za hao mawakala wenu huwa nini hasa huko ndani ya vyumba vya kuhesabu kura?
 
..Lissu amemnukuu mwanasiasa maarufu aliyesema, " to jaw-jaw is better than to war-war." Huyu bwana haishi vituko na vichekesho ktk mazungumzo yake.
Thats has a plate on the arguments table but does he realy have jaws in his political perspectives au anadhani hawa vijana wanaopiga makelele kwenye mitandao ndio hizo jaws?

Atangaze maandamano ya kupinga uchaguzi halafu ajaribu kutathmini how strong arehis political jaws over the opponent's jaws.

Sio kwa hawa vijana wanaoshinda vijiweni kwenye Tik Tok .
 
Kura huwa zinaibiwaje wakati kwenye vituo vya kura huwa huko ndani kuna mawakala wa vyama vyenu?

Kazi za hao mawakala wenu huwa nini hasa huko ndani ya vyumba vya kuhesabu kura?
Upo tanzania kweli ?
 
Thats has a plate on the arguments table but does he realy have jaws in his political perspectives au anadhani hawa vijana wanaopiga makelele kwenye mitandao ndio hizo jaws?

Atangaze maandamano ya kupinga uchaguzi halafu ajaribu kutathmini how strong arehis political jaws over the opponent's jaws.

Sio kwa hawa vijana wanaoshinda vijiweni kwenye Tik Tok .

..Reforms wanazopendekeza ni mbaya?

..Reforms wanazopendekeza ni ngumu kiasi gani mpaka inashindikana kuzitekeleza?
 
Elezea vizuri kuwa inakuwaje chama cha upinzani kinaweka mawakala chumba cha kuhesabu kura halafu baadaye wanasema wameibiwa kura?

Wakala wenu ndani ya chumba cha kura kazi yake nini?
Nishawahi kuwa wakala wa chadema mahali fulani.

Nimekuuliza upo tanzania hii ?
 
Waacheni wasuse,kwani kama ni hasara wao si ndo wataipata?,, pili pili usokula...........................
 
Lisu Anadhani anapotishia kuua hao anaowatishia shingo zao watalala chini awaue kirahisi mpuuzi huyo

Lisu anatishia nyau nani labda mshenzi mkubwa

Mwambieni watu anaowatishia wako tayari kwa lolote wanasubiri akiwashe wamuwashe yeye binafsi na hao nyau wenzie

Ruksa alianzishe huo uasi aone moto wake part two
Ungejikita kwanza kwenye elimu, maana hata uandishi wako mbovu
 
Back
Top Bottom