Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
No reform no election ni uasi, sahihi?..kelele zote hizi ni kwasababu Lissu amewazidi kwa hoja.
No reform no election ni uasi, sahihi?..kelele zote hizi ni kwasababu Lissu amewazidi kwa hoja.
No reform no election ni uasi, sahihi?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.
Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CHADEMA, uliofanyika leo Aprili 3 katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu amesema ni kweli msimamo wa ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na wako tayari kufanya hivyo kwani ndiyo namna pekee ya kupata mabadiliko
Kamuulize Mzee Warioba Lissu akiwa Rais maajabu gani yatapatikana.Ukishakinukisha nchi itarudije kwenye stability?
Unafikiri Ccm wao watatulia?
Na ni hasara kiasi gani itapatikana?
Na kuna maajabu gani makubwa yatapatikana ikiwa Lissu atakuwa Rais wa nchi?
Hili ndo jibu mkuu, nilitaka kujua kama unajua hilo...Ndio.
Lisu Anadhani rahisi kuwahadaa wenziehuyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini huenda amechanganyikiwa 🤣
anaongea na watangaza nia ambao wamejiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi mkuu huo wa October, huku nae vile vile akiwa mtangaza nia wa URAIS kupitia Chadema ambae nae anajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu huo wa October!
sasa sijui anamueleza nani juu ya uasi, wakata anaozungumza nao wanaenda kushiriki uchaguzi. huko sio kuchanganyikiwa kisiasa my friends ladies and gentlemen?🐒
Anajiandikia hukumu mwemyewe bila kesi kufika kwa jajiMshaurini kwanza Lissu aache kufikiri anamiliki nchi hii kwa kuropoka. Anasema atafanya "uasi". Na adhabu ya "uasi" ni kifo! Period!!!
infact wameshamtukia na kuna swali hua analichukia sana kwamba iwapo watashindwa kuzuia Uchaguzi ataendelea kua mwenyekiti wa Chadema taifa?🐒Lisu Anadhani rahisi kuwahadaa wenzie
Wamejipanga hasa kugombea
Asidhani aweza kufanya wasigombee hana huo ubavu
Hao walikuwa wanapambana na wazungu (wakoloni) ambao nchi hazikuwa zao..Tundu Lissu amesema yuko tayari kwa lolote hata kwenda jela kwani ni sehemu ya mapambano. Na amerejea jinsi wakina Jomo Kenyatta, Sam Nujoma, Robert Mugabe, Nelson Mandela, walifungwa lakini baadae Uhuru na mabadiliko yalipatikana ktk nchi zao.
💯Sio amani, sema uoga ndio kipaombele cha Tanzania.
Mkuu, suala la kukinukisha hilo sikubaliani nalo, na inaweza ikawa mlango wa kutopata utulivu tena katika nchi yetu.Kamuulize Mzee Warioba Lissu akiwa Rais maajabu gani yatapatikana.
Lissu anataka watoto wa watu wavunje miguu.Amekubali wanachofanya ni uasi kama ni uasi waadhibiwe kwa kosa hiloMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.
Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CHADEMA, uliofanyika leo Aprili 3 katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu amesema ni kweli msimamo wa ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na wako tayari kufanya hivyo kwani ndiyo namna pekee ya kupata mabadiliko
Tapeli la kisiasaLisu Tapeli kikiinuka tu mbio anatorokea ubelgiji
Mwangalie usoni uso tu unaonyesha utapeli
Mkuu, suala la kukinukisha hilo sikubaliani nalo, na inaweza ikawa mlango wa kutopata utulivu tena katika nchi yetu.
Kuweni makini na haya masuala ya kukinukisha.
Sio kila kitu ni cha kushangilia.
Mkuu ni kweli hauvumiliki, lakini tunaweza tukadhani tunatatua kumbe ndio tunaharibu...Ndugu yangu, DHULUMA wanazofanyiwa na CCM ndio zinasababisha wazungumze lugha ngumu, na wajisikie " kukinukisha. "
..tufike mahali tuwaambie CCM kwamba UHUNI wao hauvumiliki tena, utakuja kusababisha uvunjifu wa amani nchini.
Mkuu ni kweli hauvumiliki, lakini tunaweza tukadhani tunatatua kumbe ndio tunaharibu.
Unahisi hatuna maadui wanaotamani tuingie kwenye machafuko, kwamba tukiwa kwenye machafuko wao ndio watafanikisha malengo yao?
Tuwe makini...
Sawa Mkuu, kila la kheri kwenye "kukinukisha".....hilo swali ulitakiwa ulielekeze kwa CCM.
..tatizo ni kutaka wapinzani wawe na subira huku tukiwapa uhuru CCM wa kuteka, kutesa, na kuuwa, wapinzani.
..huu uhuni unaendelea kwasababu ya aibu na uoga tulionao kwa CCM.
..tatizo lenu ni kufikiri maafa huletwa na wapinzani tu, mnasahau mauaji makubwa ya kimbari ya Rwanda yalifanywa na chama tawala / Interahamwe.
Sawa Mkuu, kila la kheri kwenye "kukinukisha"...
Tena hasa waasi watadhinitiwa kwa nguvu kubwa beyond measureHizo ni dalili za kuleta machafuko nchini lakini watadhibitiwa vikali