Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Try me fella!Huna uwezo huo we kinyeo tu
Try me fella!Huna uwezo huo we kinyeo tu
Try me fella!Huna ubavu huo we kinyesi tu
Lissu anayetishia kufanya "uasi" nchini yuko sahihi? Na je, unajua kufanya uasi nchi yoyote duniani adhabu yake ni kifo? Unalijua hilo?
Ahahahahaha! Lissu ni MUUMINI WA USHOGA na amelisema hilo mara nyingi. Au unataka ufukuzwe Chadema kwa kwenda kinyume na Mwenyekiti Lissu? Ahahahahaha!!Hata kutumia jina lako halisi huwezi, ndio utamuweza Lisu. We 🌈 ni bora ukae kimya tu.
Akifa mmoja tutahepusha vifo vya wengi."Mmefika hatua mbaya sana - hakuna atakayeshinda na kupata suluhu si Lissu au anti - Lissu".
* Vifo vya watu wengi vinavyotokana na mivutano ya kisiasa huchangiwa na viongozi waoga wa mabadiliko;
* Lzm ifike hatua ya kusaka maridhiano - tumeendekeza mambo ya ajabu ajabu ambayo wala hayana msingi wowote wa kuvutana na kutishana;
* Tunaenda kuwa taifa la ajabu sana
Mshaurini kwanza Lissu aache kufikiri anamiliki nchi hii kwa kuropoka. Anasema atafanya "uasi". Na adhabu ya "uasi" ni kifo! Period!!!..tupunguze jazba.
..tuangalie wapi tumehitilafiana.
Bado mnaamini watu wanaishi kwenye hizo propaganda zenu za kizee? Mlifanikiwa siku za nyuma kwa propaganda hizo, sio sasa.Tulishaonya chadomo kimegeuka kikundi cha mungiki. Leo chombo ya Amsterdam imejitokeza ikitishia uasi.
Amani ya Tanzania haichezewi hata siku moja na yeyote kwa sababu yeyote iwe halali au sio halali
Cheza na kila kitu Tanzania, tukana hata viongozi wa siasa au serikali matusi hata ya nguoni
Ukigusa kuvuruga amani haijalishi mtu ni nani yuko CCM au upinzani mkubwa au mdogo ana akili timamu au hana lazima kiwake tena kiwake hasa kuhakikisha amani haitoweki Tanzania kwa gharama yeyote hata kama itahusisha uhai wa mtu kuondoka
Kipaumbele cha kwanza cha Tanzania ni amani sio uchumi wala siasa wala demokrasia wala uchaguzi huru,wala Elimu,Kilimo nk ni Amani ndicho Kipaumbele kikuu cha nchi
Ndio Kipaumbele namba moja
Kila Mjaribu kuvuruga amani anatakiwa ajue hilo.Kuwa hicho Kipaumbele hakichezewi
Akichezea ni kwa risk yake mwenyewe
Mungu awatangulieMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.
Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CHADEMA, uliofanyika leo Aprili 3 katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu amesema ni kweli msimamo wa ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na wako tayari kufanya hivyo kwani ndiyo namna pekee ya kupata mabadiliko
Muueni, lakini ameshapanda mbegu ya mabadiliko na hamtaweza kuizuia. Kama kuna kitu hamtaweza kuzuia si kingine bali ni mabadiliko.Mshaurini kwanza Lissu aache kufikiri anamiliki nchi hii kwa kuropoka. Anasema atafanya "uasi". Na adhabu ya "uasi" ni kifo! Period!!!
Kama unajiamini weka jina lako halisi na namba yako ya simu na ulipo uone nani atapoteza maisha yake, ww ama Lisu?Try me fella!
Mshaurini kwanza Lissu aache kufikiri anamiliki nchi hii kwa kuropoka. Anasema atafanya "uasi". Na adhabu ya "uasi" ni kifo! Period!!!
Muli pambana ili Mbowe apite bila kupingwa ila mungu akampiga block na kuleta Mh Lissu...mwaka huu lazima munye mavi hadharani ma kenge nyieYeye anafikiri kwakuwa mke wake na watoto wake wako Ubeleji anafikiri wako salama sana na anaweza akafanya lolote kuhatarisha amani ya nchi hii. Athubutu aone. Tutaanza na familia yake huko kabla ya yeye! Mshenzi mkubwa!!
Nchi hii imekuwa ikibadilika kama zilivyo nchi zingine. Kwahiyo sio kweli eti Lissu ndio kaleta mabadiliko. Labda nyumbu kama wewe mwenye akili za kushikiwa ndio unaamini hivyo. Na hata Lissu na mimi tukiwa hatupo duniani mabadiliko yataendelea kutokea. Lakini eti kufanya "uasi"? Ni kifo tu!!Muueni, lakini ameshapanda mbegu ya mabadiliko na hamtaweza kuizuia. Kama kuna kitu hamtaweza kuzuia si kingine bali ni mabadiliko.
Wewe unayenitishia mimi umeweka vya kwako? Kenge wewe?Kama unajiamini weka jina lako halisi na namba yako ya simu na ulipo uone nani atapoteza maisha yake, ww ama Lisu?
Mh Lissu hana chakupoteza kama Mbowe ,Hana Mali ya kumhalibia hata haogopi kifo kwasabubu muliwahi kumuua ila sir God akawagomea mavi ya pussi nyieLisu Tapeli kikiinuka tu mbio anatorokea ubelgiji
Mwangalie usoni uso tu unaonyesha utapeli
Acha mahubiri kwangu hayatasaidia. Hao wapinzani wakifikiri Watanzania watapigana na kuuana kwa ajili yako, waambie watakufa wao! Period!!..kwa Chadema hata kushiriki uchaguzi jambo la haki kikatiba baadhi yao "wamehukumiwa" kifo.
..baadhi ya kauli unapozisikia toka kwa wapinzani jaribu kuvaa "viatu" vyao.
..kabla ya kuwahukumu wapinzani jaribu kuwadadisi kwanini wanazungumza kwa jazba, na nini kifanyike ili wasizungumze kwa jazba.
..kwa kifupi serikali na CCM imewatendea DHULUMA kubwa wapinzani.
..Na tunachojaribu kuwanasihi watu wa CCM na serikali ni kwamba udhalimu dhidi ya upinzani ukome ili turejeshe umoja na mshikamano.
Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema na ni Wana Chadema ndio walikuwa wanamuweka madarakani sio CCM. Na kama Mbowe alikuwa mbaya, vipi Lissu aliyeokotwa na Mbowe toka majalalani akawa mzuri? Je, HAIWEZI kuwa anaendeshwa na Mbowe? Ahahahahaha!!!Muli pambana ili Mbowe apite bila kupingwa ila mungu akampiga block na kuleta Mh Lissu...mwaka huu lazima munye mavi hadharani ma kenge nyie
Acha mahubiri kwangu hayatasaidia. Hao wapinzani wakifikiri Watanzania watapigana na kuuana kwa ajili yako, waambie watakufa wao! Period!!
Wewe acha watu wenye akiri wajadili hii mada ...5 years ago nyie magamba mulikuwa munasema Mbowe ameka mda mrefu aachie ngazi wakati amejitokeza Tundu the Great mulianza kumsifia Mbowe ni Mtu mwema .& alipata coverage hadi TBC..nyie nivigeugeu waporini kama huyu gombe wenu ....nyooko weweMbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema na ni Wana Chadema ndio walikuwa wanamuweka madarakani sio CCM. Na kama Mbowe alikuwa mbaya, vipi Lissu aliyeokotwa na Mbowe toka majalalani akawa mzuri? Je, HAIWEZI kuwa anaendeshwa na Mbowe? Ahahahahaha!!!