PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
NO REFORMS NO ELECTION
 
Amani ya Tanzania haichezewi hata siku moja na yeyote kwa sababu yeyote iwe halali au sio halali

Cheza na kila kitu Tanzania, tukana hata viongozi wa siasa au serikali matusi hata ya nguoni

Ukigusa kuvuruga amani haijalishi mtu ni nani yuko CCM au upinzani mkubwa au mdogo ana akili timamu au hana lazima kiwake tena kiwake hasa kuhakikisha amani haitoweki Tanzania kwa gharama yeyote hata kama itahusisha uhai wa mtu kuondoka

Kipaumbele cha kwanza cha Tanzania ni amani sio uchumi wala siasa wala demokrasia wala uchaguzi huru,wala Elimu,Kilimo nk ni Amani ndicho Kipaumbele kikuu cha nchi

Ndio Kipaumbele namba moja

Kila Mjaribu kuvuruga amani anatakiwa ajue hilo.Kuwa hicho Kipaumbele hakichezewi
Akichezea ni kwa risk yake mwenyewe
Amani Tanzania haijawahi kuwepo , kuna utulivu wa uoga wa kijinga . Sasa ujinga umeanza kuisha watu hawataki kuonewa na wendawazimu wanao jiita viongozi. Siku zinahesabika hao wanao hubili amani bila kutenda haki wataikimbia nchi mda si mrefu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.

Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CHADEMA, uliofanyika leo Aprili 3 katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lissu amesema ni kweli msimamo wa ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na wako tayari kufanya hivyo kwani ndiyo namna pekee ya kupata mabadiliko

Tulishasema lissu ni solid, ndo maana ccm hawakumuunga mkono...
 
Hawa CCM wasisababishe umwagaji wa Damu za Watanzania.
 
Yeye anafikiri kwakuwa mke wake na watoto wake wako Ubeleji anafikiri wako salama sana na anaweza akafanya lolote kuhatarisha amani ya nchi hii. Athubutu aone. Tutaanza na familia yake huko kabla ya yeye! Mshenzi mkubwa!!

..nyinyi mnaotishia kumuua Lissu mnaona mko sahihi, au mnaitendea HAKI nchi yetu?
 
800f0000-c0a8-0242-5280-08dafef9a89e_cx0_cy2_cw0_w1080_h608.jpg

Bila HAKI hakuna AMANI
 
Huwa ana mihemko sana kama mjamzito. Lakini tulisema haya

..mihemko ya Tundu Lissu inatokana na DHULUMA ambazo yeye na wenzake wamepitia ktk siasa zetu.

..jambo la busara ni kuleta REFORMS ambazo zitahakikisha HAKI na USAWA ktk uchaguzi na shughuli za kisiasa.
 
Ukishakinukisha nchi itarudije kwenye stability?

Unafikiri Ccm wao watatulia?

Na ni hasara kiasi gani itapatikana?

Na kuna maajabu gani makubwa yatapatikana ikiwa Lissu atakuwa Rais wa nchi?
 
Amani ya Tanzania haichezewi hata siku moja na yeyote kwa sababu yeyote iwe halali au sio halali

Cheza na kila kitu Tanzania, tukana hata viongozi wa siasa au serikali matusi hata ya nguoni

Ukigusa kuvuruga amani haijalishi mtu ni nani yuko CCM au upinzani mkubwa au mdogo ana akili timamu au hana lazima kiwake tena kiwake hasa kuhakikisha amani haitoweki Tanzania kwa gharama yeyote hata kama itahusisha uhai wa mtu kuondoka

Kipaumbele cha kwanza cha Tanzania ni amani sio uchumi wala siasa wala demokrasia wala uchaguzi huru,wala Elimu,Kilimo nk ni Amani ndicho Kipaumbele kikuu cha nchi

Ndio Kipaumbele namba moja

Kila Mjaribu kuvuruga amani anatakiwa ajue hilo.Kuwa hicho Kipaumbele hakichezewi
Akichezea ni kwa risk yake mwenyewe
Sio amani, sema uoga ndio kipaombele cha Tanzania.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.

Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CHADEMA, uliofanyika leo Aprili 3 katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lissu amesema ni kweli msimamo wa ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na wako tayari kufanya hivyo kwani ndiyo namna pekee ya kupata mabadiliko

huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini huenda amechanganyikiwa 🤣

anaongea na watangaza nia ambao wamejiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi mkuu huo wa October, huku nae vile vile akiwa mtangaza nia wa URAIS kupitia Chadema ambae nae anajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu huo wa October!

sasa sijui anamueleza nani juu ya uasi, wakata anaozungumza nao wanaenda kushiriki uchaguzi. huko sio kuchanganyikiwa kisiasa my friends ladies and gentlemen?🐒
 
Nami nipo tayari "kumuua" kwa mkono wangu ili kuzuia uasi huo! Mark my words!
"Mmefika hatua mbaya sana - hakuna atakayeshinda na kupata suluhu si Lissu au anti - Lissu".
* Vifo vya watu wengi vinavyotokana na mivutano ya kisiasa huchangiwa na viongozi waoga wa mabadiliko;

* Lzm ifike hatua ya kusaka maridhiano - tumeendekeza mambo ya ajabu ajabu ambayo wala hayana msingi wowote wa kuvutana na kutishana;

* Tunaenda kuwa taifa la ajabu sana
 
..nyinyi mnaotishia kumuua Lissu mnaona mko sahihi, au mnaitendea HAKI nchi yetu?
Lissu anayetishia kufanya "uasi" nchini yuko sahihi? Na je, unajua kufanya uasi nchi yoyote duniani adhabu yake ni kifo? Unalijua hilo?
 
Back
Top Bottom