PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..wapinzani tayari wameuwawa, na kutiwa ulemavu, kwasababu tu wameshiriki siasa, au uchaguzi.
Basi waambie watie akili na watii sheria bila shuruti. La sivyo watakamilisha msemo usemao, "kwa shujaa kulienda kilio na kwa muoga kulienda kicheko"! Kupanga ni kuchagua.
Wewe hapo na kujifanya unawaonea huruma waliohathirika, huna lolote ulilowahi kuwasaidia familia za waathirika zaidi ya kutoa machozi ya mamba! Ahahahahaha!!
 
Wewe acha watu wenye akiri wajadili hii mada ...5 years ago nyie magamba mulikuwa munasema Mbowe ameka mda mrefu aachie ngazi wakati amejitokeza Tundu the Great mulianza kumsifia Mbowe ni Mtu mwema .& alipata coverage hadi TBC..nyie nivigeugeu waporini kama huyu gombe wenu ....nyooko wewe
Mimi mambo ya Chadema hayanihusu. Hata mkiweka mbwa awe Mwenyekiti wenu kwangu sawa tu.
 
Basi waambie watie akili na watii sheria bila shuruti. La sivyo watakamilisha msemo usemao, "kwa shujaa kulienda kilio na kwa muoga kulienda kicheko"! Kupanga ni kuchagua.
Wewe hapo na kujifanya unawaonea huruma waliohathirika, huna lolote ulilowahi kuwasaidia familia za waathirika zaidi ya kutoa machozi ya mamba! Ahahahahaha!!

..wapinzani hata wakitii sheria CCM na vyombo vya dola wana tabia ya kuwauwa, au kuwatia ulemavu.
 
TAL Amefanya sahihi kuwa muwazi kuwa kitakachotokea ni uasi.
Ni rasmi sasa kuwa no reform no election ni uasi dhidi ya serikali.
 
TAL Amefanya sahihi kuwa muwazi kuwa kitakachotokea ni uasi.
Ni rasmi sasa kuwa no reform no election ni uasi dhidi ya serikali.
Na adhabu ya uasi (treason) ni kifo (hanged til death) tu! Kwahiyo aanze, hukumu itekelezwe! Period!!
 
Na adhabu ya uasi (treason) ni kifo (hanged til death) tu! Kwahiyo aanze, hukumu itekelezwe! Period!!
TAL anajua kuikwepa mishale, tatizo ni wale wa za kuambiwa wachanganye na zao.
 
Yeye anafikiri kwakuwa mke wake na watoto wake wako Ubeleji anafikiri wako salama sana na anaweza akafanya lolote kuhatarisha amani ya nchi hii. Athubutu aone. Tutaanza na familia yake huko kabla ya yeye! Mshenzi mkubwa!!
WEWE NN HD UMTISHIE TAL? UNAWEZA ONDOKA WW KABLA YK KM BABU YENU WA CHATU ALIVYOSEPESHWA NA MUNGU
 
TAL Amefanya sahihi kuwa muwazi kuwa kitakachotokea ni uasi.
Ni rasmi sasa kuwa no reform no election ni uasi dhidi ya serikali.

..kelele zote hizi ni kwasababu Lissu amewazidi kwa hoja.
 
..mihemko ya Tundu Lissu inatokana na DHULUMA ambazo yeye na wenzake wamepitia ktk siasa zetu.

..jambo la busara ni kuleta REFORMS ambazo zitahakikisha HAKI na USAWA ktk uchaguzi na shughuli za kisiasa.
Well said, i think anahitaji kurealise kwamba sasa yeye ndio ameshika makali na anasimamia chama alichokimini na kukitumikia miaka yote so he needs wisdom kuangalia wataenda wachache au waende wengi?

Mind you kwenye wengi kuna mengi hata hao alionao sasa hivi atakuja kugundua kuna wengi tu wenye personal moves zao japo anaona yupo nao.

Solution kama kiongozi anahitaji kuwa na busara sana otherwise chama kinampasukia na take my word chama kikipasuka hataweza tena kukiweka sawa maana itakuwa wengi kwa wengi hii ni mbaya sana.

If you want to walk fast just walk alone but if you want to walk far then walk together.
 
Lisu hapo anawatishia watia nia kugombea walio kinyume chake cha kugoma hiyo no reform no election kuwa waasi

Anatishia nyau watia nia ndani ya Chadema

..Tundu Lissu amesema yuko tayari kwa lolote hata kwenda jela kwani ni sehemu ya mapambano. Na amerejea jinsi wakina Jomo Kenyatta, Sam Nujoma, Robert Mugabe, Nelson Mandela, walifungwa lakini baadae Uhuru na mabadiliko yalipatikana ktk nchi zao.
 
Amani ya Tanzania haichezewi hata siku moja na yeyote kwa sababu yeyote iwe halali au sio halali

Cheza na kila kitu Tanzania, tukana hata viongozi wa siasa au serikali matusi hata ya nguoni

Ukigusa kuvuruga amani haijalishi mtu ni nani yuko CCM au upinzani mkubwa au mdogo ana akili timamu au hana lazima kiwake tena kiwake hasa kuhakikisha amani haitoweki Tanzania kwa gharama yeyote hata kama itahusisha uhai wa mtu kuondoka

Kipaumbele cha kwanza cha Tanzania ni amani sio uchumi wala siasa wala demokrasia wala uchaguzi huru,wala Elimu,Kilimo nk ni Amani ndicho Kipaumbele kikuu cha nchi

Ndio Kipaumbele namba moja

Kila Mjaribu kuvuruga amani anatakiwa ajue hilo.Kuwa hicho Kipaumbele hakichezewi
Akichezea ni kwa risk yake mwenyewe
Mkuu. Jikite kwenye. Hoja kinacho takiwa ni katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu lengo siyo kuvunja Amani kwanini watawala wasitimize hilo na wapinzani wakaridhika...

Hata hivyo Unadhani ndiyo itakuwa hivyo Milele!!??? Tuliza akili yako.. Tajilii....
 
Vita ya Muda, Muda ukifika... Ni lazima kutokee mabadilikoo na Muda ni una nguvu... Ya Asili kuoperate.. Changes....
 
Huwa ana mihemko sana kama mjamzito. Lakini tulisema haya

..Lissu amemnukuu mwanasiasa maarufu aliyesema, " to jaw-jaw is better than to war-war." Huyu bwana haishi vituko na vichekesho ktk mazungumzo yake.
 
Back
Top Bottom