Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Lissu anaogopwa sanaWameshafungulia saizi bila hata vpn unaweza ku-access youtube
Nyumbu ndiyo wanamwogopaLissu anaogopwa sana
Sana tena.Mama anaupiga mwingi
Tayari amehutubia na watanzania wamemsikiaPongezi kwa serikali yangu tukufu,kuliko kiruhusu taifa letu linajisiwe Ni Bora wanefanya vyema kuzima mitandao .
Eti anahutubia taifa,huyu mtu yuko siriazi au hazijatimia?
tulidhani chacha wa tcra ameondoka na yatakoma kumbe bado sukuma gang haijaishaMapema tu nilijua,Figisufigisu bado zinaendelea.CCM Ni ile ile,aliyosema Prop.Mwingira hapo Ikulu kuna kitu kibaya
Hii ndiyo kanuni ya "kumtungia binadamu sheria"...Ukimwambia mtoto afungue vyumba vyote ila chenye alama Y usijaribu basi mtoto huanza na hicho chenye alama Y.Wanafanya watu kutaka kujua kunani.