Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa:
HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU LISSU.
Tundu Lissu ni Genius sana . Badala ya kumchukua angalau kumfanya mshauri wa nchi, wakaenda kumfanyia fitna na kutaka kumuua.... ni wapumbavu CCM nchi hii.
Unamfukuza Lissu unamuweka Tale Tale, Mwana FA, Halafu unategemea nchi iwe na mustakabali mzuri . Mavi kabisa
Njia pekee ya kuifanya nchi iendelee ni kuitoa Hii CCM madarakani.
Ukitaka kujua CCM ni good for nothing, Angalia Mama ambae ndiyo alikuwa ni msaidizi wa JPM , yet anaponda utawala ambao she was part of it . Mama anaingia ameingia na yake , na atatoka Mama , ataingia mwîngine na yake ; nchi haina continuity ya maendeleo , mifumo inategemea ni nani anayeongoza; kwa stail hiyo we will never get there....
Ngosha anasimamisha miradi kwa muktadha wa utapeli na ufisadi mfano mradi wa bagamoyo, Mama anakujaa anaiendeleza miradi hiyo hiyo iliyosimamishwa kwq muktadha wa ufisadi , ngosha anatimua vyeti fake , Mama anakuja anasema hawa warudishwe na kulipwa fidia.... ndio Mjue CCM ni Mavi kabisa na TAKATAKA ? na huendesha nchi na mifumo kwa kutegemea maamuz ya Mtu mmoja ambae ni Rais , ni UPUMBAVU mkubwa sana ; mifumo ya nchi inatakiwa ijiendeshe yenyewe bila ya upepo wa Rais .... nchi inatakiwa iishi katika misingi na continuité, sio huyu anasema hili , mwenzie anakuja, anasema hivi ; tunapiga hatua kisha tunarudi nyuma.
CCM hawana muunganiko, na for sure wanapotezea watu Muda sana
Nashauri Jitihada za kuiondoa CCM zipambe moto sambamba na kupatikana KATIBA MPYA.
The only way we can be ni kupata katiba mpya, na huyu Mama asituzingue ni lazima tupate katiba mpya; atatusingizia Magaidi wote lakini lazima tupate katiba mpya;
nimetumikia nchi yangu katika nyanja mbali mbali ikiwemo na CCM YENYEWE, deep down najua CCM ni tatizo , na ni kihatarishi kwenye maendeleo ya taifa letu
Tuiondoe kwa kuinusuru nchi
They are good for nothing