Tundu Lissu: Wanaweza kuzima Intaneti kwa muda lakini sio kuzuia teknolojia

Namsubiri kwa hamu LISSU arudi Bongo. Nikimuona tu na macho yangu namuambiwa Mungu Bwana sasa unaweza kunichukua.
 
Madaraka ni matamu.

Je tutumie VPN gani?
 
Ukiwa na akili za maCCM , wewe basi tena...sasa wamezuia nini? tusiposikia live si ipo recorded...umbwa kabisa hawa.
 
Aliyeshinda Kifo ni Yesu tu. Acheni kulazimisha hizo promo kisa mtu wewe binafsi unampenda Lissu. Khaaah!!
Sijampa cheo cha Yesu lakini kutamka alishinda kifo ninamaanisha alishinda makusudio ya watesi wake.
 
Ndio maana wakifa magari yaliyobeba miili yao yanapata ajali
 
Aliyeshinda Kifo ni Yesu tu. Acheni kulazimisha hizo promo kisa mtu wewe binafsi unampenda Lissu. Khaaah!!
Roho inakuuma. inaonekana wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kuondoa uhai wa Lissu
 
Roho inakuuma. inaonekana wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kuondoa uhai wa Lissu
Mimi hayo yananihusu nini…Humu ndani siku hizi kuna wapuuzi wengi sana. Unadhani kila mtu anaishi kuwaza wanasiasa tu..Narudia, ni Yesu Kristu tu ndiyo aliyeshinda Kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…