Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi.
Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global TV, Tundu Lissu amesema kuwa, notion iliyopo ndani ya CHADEMA kuwa kuna mtu mmoja tu anajitolea kukuza chama ni uongo kwani watu wengi ikiwemo viongozi wakubwa wa kwenye chama hicho hawalipwi.
Lissu alisema kuwa tangu mwaka 2004 hadi sasa amekuwa ni mjumbe wa kamati kuu CHADEMA na kwa taarifa alizonazo watu wanaolipwa mshahara ndani ya chama hicho hawafiki 20 na wengine wote wanajitolea
=======================================================
CHADEMA lipeni watu jamani ndo maana chama kina migogoro isiyoisha.
Chama kinadai kina wanachama Milioni 8 ila kina active na paid employees 20 tu? Hadi Niffer anawashinda?
Na hao viongozi 20 wanaolipwa ni akina nani?
Tunataka tujue Mbowe analipwa shingapi