Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Lissu hawezi kupewa Uenyekiti wa CDM.
Ajiandae tu kuunda chama kipya maana hakuna chama anachoweza kujiunga nacho kikawa serious na yeye kukitumia kama platform.
Ushauri wa bure kwa Lissu: your next move iwe kuanzisha chama kingine ili usimamishe itikadi zao na kusimama na wanaokuamini.
Bahati Mbaya sana, Mbowe hayuko serious na kuchukua dola zaidi ya biashara zake na za inner circle yake + elites wanaojua malengo ya CDM.
BAHATI MBAYA SANA WENGI HAMJUI MALENGO YA UWEPO WA CDM, matokeo imekuwa busy kutumia nguvu zenu na akili zenu kupambania CDM. CDM inamilikiwa na elites fulani kwa malengo fulani, hao ndio CDM na ndio wako na siri zote, Mbowe ni kijana wao muaminifu aliyekula yamini, MBOWE ni genius ndio maana ameaminiwa kukaa pale kulinda maslahi na malengo ya CDM.
Mtajua mkiwa mmechelewa sana.