Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi.
Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global TV, Tundu Lissu amesema kuwa, notion iliyopo ndani ya CHADEMA kuwa kuna mtu mmoja tu anajitolea kukuza chama ni uongo kwani watu wengi ikiwemo viongozi wakubwa wa kwenye chama hicho hawalipwi.
Lissu alisema kuwa tangu mwaka 2004 hadi sasa amekuwa ni mjumbe wa kamati kuu CHADEMA na kwa taarifa alizonazo watu wanaolipwa mshahara ndani ya chama hicho hawafiki 20 na wengine wote wanajitolea

Amefafanuwa, hajashambulia wala ku-diss mtu.
Nilichogundua ni kwamba, ukisimuliwa na mwingine kuhusu kauli i iliyotolewa Tundu Lissu huwa tofauti kabisa na ukimsikiliza mwrnyewe.