Tundu Lissu: We were too quick to give President Samia Suluhu Hassan the benefit of doubt

You idiot, birds of a feather fly together, remember? Kwa miaka zaidi ya sita hao wawili waliruka pamoja, sasa utamtajaje moja na kumuacha msaidizi wake mkuu na mrithi wake?
Kwahiyo Ukatili Umeanza awamu ya 5 baada ya Chacha na Mwangosi?

Bure kabisa 😂
 
It's "Benefit of the doubt" not "benefit of doubt". Anyway endeleeni na siasa zenu.
 
ENGLISH ILIYO NYOOKA HII HAPA BANA HONGERA NYANI NGABU
 
Tulipowaambia enzi zile mnarusharusha makalio around mlituita majina yote mabaya! At maridhiano ya watu wawili kukutana km mtongozo!!


Kiko wapi?
 
Kwamba tumlaumu Matola kumuacha bocco awe Captain?
Kwahio hata klabuni kwao watu walikua wanam doubt sema tu Matola akakaza apewe Bocco ucaptain?
 
You idiot, birds of a feather fly together, remember? Kwa miaka zaidi ya sita hao wawili waliruka pamoja, sasa utamtajaje moja na kumuacha msaidizi wake mkuu na mrithi wake?
Actually, I would dare say, Magufuli was much much better compared to Samia.
You could see and hear Magufuli in his own true elements, no guises, no pretenses. You would therefore have no doubt what he was.
Samia is totally a different devil; who soothes you, caresses you and puts you to sleep before she finishes you off!
 
Kiingereza chako ni cha kusikiliza sio kusom jitihadi uwe unatuandikia kiingereza fasaha basi Bagheshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…