Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ile clip ni fake, wameunga clip mbili tofauti na ni ma-ccm hao.Mkuu jibu swali juzi kwa nini mlimzomea kwenye mkutano wa Mbowe mkamwita ni Yuda. Kwani kafanya nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile clip ni fake, wameunga clip mbili tofauti na ni ma-ccm hao.Mkuu jibu swali juzi kwa nini mlimzomea kwenye mkutano wa Mbowe mkamwita ni Yuda. Kwani kafanya nini tena?
Juzi kazomewa kwenye mkutano wa Mbowe. Vipi ameshawauzi Chagadema au?
Maasikini UCD, kwa akili hizi ndogo utahangaika kweli kweli humu JF lakini safari hii mmeumbuliwa na kubaki uchi hivyo nakushauri kama una kahekima kadogo kamebaki chutama!Mkuu jibu swali juzi kwa nini mlimzomea kwenye mkutano wa Mbowe mkamwita ni Yuda. Kwani kafanya nini tena?
Lissu is not a Kenyan, then stop saying that "Tanzanians are not able to speak good English ".Ingekuwa wewe mtu aliyekutia ulemavu ungemsahau maishani mwako?
Tundu Lissu has apologise to the nation and international community, for being too naive
View: https://m.youtube.com/watch?v=9djeud3m8Ic
And Tundu Lissu went further by saying he and many tanzanians have to bare that heavy burden of wrongly thinking that any leader assuming the office under the ruling party CCM Chama cha Mapinduzi has guts to stop State Terror action initiated by the leadership of the late President John Pombe Joseph Magufuli..
President Samia Hassan has chosen to consolidate her power and that of the ruling party by enacting laws that allow the security apparatus to abduct, torture and even .... extrajudicial killings and murder ....that are taking place right now under the administration of president Samia Hassan
Tundu Lissu says we tanzanians should play our part to resist the repressive laws and barbaric actions which are under the aegis of President Samia Hassan
Tundu Lissu deplored any chances of further engagement for talks with the Chama Cha Mapinduzi leadership about constitutional reforms, as for the past 3 years the approach has brought empty promises from the ruling party CCM which is under the leadership of President Samia Hassan
The CHADEMA senior leader Tundu Lissu urged the international community to revisit its close relationship with President Samia Hassan government.
Tundu Lissu lamented that we know all dictators when are faced with the possibility of sanctions, they always plea that the poor will bear the burden and they will ask for the saction to be uplifted. He argue the international community and partners not to listen to such pleas coming from dictators like Samia Suluhu Hassan.
The international community should rise firmly and start to implement measures and sactions from right now to support the majority who are being harassed through actions like using Food as a war weapon contrary to the UN resolution guidelines which Tanzania is a signatory, burning down vast land of savannah to forcefully evict the cattle herders in Ngorongoro Arusha region, the recent mass arrest of more than 500 CHADEMA cadres, abduction and killing of a senior CHADEMA functionary Ali Mohamed Kibao and kidnapping of opposition leaders all over Tanzania.
Espanyola
La comunidad internacional debe levantarse con firmeza y comenzar a implementar medidas y sanciones desde ahora para apoyar a la mayoría que está siendo acosada mediante acciones como el uso de alimentos como arma de guerra, en contra de las directrices de la resolución de la ONU de la que Tanzania es signataria, quemando vastas tierras de sabana para desalojar por la fuerza a los pastores de ganado en la región de Ngorongoro Arusha, el reciente arresto masivo de más de 500 cuadros de CHADEMA, el secuestro y asesinato de un alto funcionario de CHADEMA, Ali Mohamed Kibao, y el secuestro de líderes de la oposición en toda Tanzania
1. Stop pigeonholing me. I’m neither scholarly nor an erudite.You represent a typical Tanzanian mindset, which is to wait, do nothing, and then blame others by saying, 'I told you before this wasn't going to work, but you didn't listen to me. ''Wasomi diaspora'' wa nchi ya Tanzania mnachekesha sana.
Watu wanadhani kufanya siasa na CCM ni kazi rahisi, kwamba things zinaenda "by the books " . Hawajui kitu hawa! CCM ina hila zaidi ya 200 wamezifungia kabatini wanasubiri muda ufike wazitumie.Mkuu, what Mbowe did was right. Kujaribu njia zote. Asingekubali maridhiano sasa hivi CCM wangekuwa wanasema CHADEMA ilikataa kukaa meza moja kuleta suluhisho. By the way, Mbowe angefanya nini cha zaidi? Watanzania wenyewe wamejikalia tu kama mizigo na hata kama anayewatetea akipata madhila hakuna support yoyote.
Kiingereza kipi Uzalendo wa Kitanzania....Hicho kiingereza kimekaaje Mkuu? Kipi sawa kweli?
Asante sana. Wewe unajua hali halisi.Watu wanadhani kufanya siasa na CCM ni kazi rahisi, kwamba things zinaenda "by the books " . Hawajui kitu hawa! CCM ina hila zaidi ya 200 wamezifungia kabatini wanasubiri muda ufike wazitumie.
Mbowe na wenzie walijaribu kunavigate.
Kwahiyo hakuzomewa?Maasikini UCD, kwa akili hizi ndogo utahangaika kweli kweli humu JF lakini safari hii mmeumbuliwa na kubaki uchi hivyo nakushauri kama una kahekima kadogo kamebaki chutama!