Tundu Lissu: We were too quick to give President Samia Suluhu Hassan the benefit of doubt

Juzi kazomewa kwenye mkutano wa Mbowe. Vipi ameshawauzi Chagadema au?

Mkuu jibu swali juzi kwa nini mlimzomea kwenye mkutano wa Mbowe mkamwita ni Yuda. Kwani kafanya nini tena?
Maasikini UCD, kwa akili hizi ndogo utahangaika kweli kweli humu JF lakini safari hii mmeumbuliwa na kubaki uchi hivyo nakushauri kama una kahekima kadogo kamebaki chutama!
 
Mkiambiwa TL hanaga hekima na busara muwe mnaelewa. Cóż moja ya sifa ya mtu ambaye hana hekima ni kuongea kabla ya kutafakari.
1. Walitoa povuuu weee kumtukana Lowasa kuwa na fisadi; baada ya muda kidogo wakaanza kumpamba akiwa mgombea wao wa urais.
2. Wakampamba sanaa madam, muda kidogo tu wameanza kumtukana.

WaTZ mnataka Mungu aongee na nyie kwa njia gani ili muelewe?
 
You represent a typical Tanzanian mindset, which is to wait, do nothing, and then blame others by saying, 'I told you before this wasn't going to work, but you didn't listen to me. ''Wasomi diaspora'' wa nchi ya Tanzania mnachekesha sana.
1. Stop pigeonholing me. I’m neither scholarly nor an erudite.

2. There is no such thing as “a typical Tanzanian mindset”.

It is just a creation of your rich imagination [= delulu].

3.,Assessing a situation and saying a certain approach won’t work, is pragmatism.

I said the approach wouldn’t work. And guess what, it didn’t work.

Next time you decide to criticize, do so and make it make sense.

Don’t come here babbling like a tether 🤣 and act like you’re dropping some gems.

You are not.
 
Watu wanadhani kufanya siasa na CCM ni kazi rahisi, kwamba things zinaenda "by the books " . Hawajui kitu hawa! CCM ina hila zaidi ya 200 wamezifungia kabatini wanasubiri muda ufike wazitumie.

Mbowe na wenzie walijaribu kunavigate.
 
14 September 2024
VENUE : UDSM LIBRARY
Dar es Salaam, Tanzania

MJADALA NAFASI ZA WAGOMBEA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024


PROFESA TIBAIJUKA - HUU NI MJADALA WA WASOMI KUHUSU TAIFA LETU, NA SIYO KWA AJILI YA WAZANAKI

View: https://m.youtube.com/watch?v=aWUM2rPAnoU

Maneno hayo Prof. Tibaijuka amemnukuu Mwalimu Nyerere alipokuwa anasisitiza mijadala ya kisomi inahitaji watu wenye upeo fulani ili kuweza kujadili mambo mazito ya kitaifa na siyo mambo ya Wazanki.

Hivyo chaguzi za kupata viongozi bora ndani ya chama huakisi mfumo bora wa kupata viongozi wa nchi.

Mwanadiplomasia mstaafu na mwanasiasa mkongwe wa Tanzania, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza katika Kongamano la maadhimisho ya siku ya Demokrasia Duniani, ambapo kwa Tanzania kongamano hilo liliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na shirika la NDI.


Retired diplomat and veteran Tanzanian politician, Prof. Anna Tibaijuka, has warned that election observers often do not get the full picture of what is happening on the ground, citing an example from her time as head of the United Nations in Nairobi during the 2008 election crisis.Tibaijuka made these remarks while delivering a lecture during World Democracy Day celebrations, which in Tanzania took place at the University of Dar es Salaam and were organized by the civil society organization Legal Human Rights Center.


Party dictatorship still exist in the politics of Tanzania and to overcome this can be done by allowing independent candidates to vie for political post .

Prof. Tibaijuka believes by introducing space for independent candidates it will strengthen the whole process of finding ideal candidates and thus as a nation we are going to have capable leaders at levels ...
 
Watu wanadhani kufanya siasa na CCM ni kazi rahisi, kwamba things zinaenda "by the books " . Hawajui kitu hawa! CCM ina hila zaidi ya 200 wamezifungia kabatini wanasubiri muda ufike wazitumie.

Mbowe na wenzie walijaribu kunavigate.
Asante sana. Wewe unajua hali halisi.
 
Maasikini UCD, kwa akili hizi ndogo utahangaika kweli kweli humu JF lakini safari hii mmeumbuliwa na kubaki uchi hivyo nakushauri kama una kahekima kadogo kamebaki chutama!
Kwahiyo hakuzomewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…