Tundu Lissu: Wenje atoe video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake

πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,
akikwambia angalia kushoto we geuka kulia uone kuna nini.
 
Tundu sisi hatutaki hiyo video sababu utakuja kusema imehaririwa. Leta ushahidi wewe mwenyewe tutaupima kama ni kweli au uzushi
 
Lissu ameingia mkenge wa Diaspora. Infact hao diaspora walimuuguza sana tundu. Ameingizwa mkenge na yeye kwa kulewa sifa bila kusikia na kujua madhaifu yake akauvaa mkenge kichwa kichwa. Umewahi kuona diaspora hata mmoja akimkemea Msigwa? Msigwa yupo wapi sasa hivi?
 
 
Lissu amenyooka kama rula, nyeusi nyeusi...ndio maana ma ccm hayamtaki kwasabb hahongeki kudadek!!!.
Lisu anahongeka, tena sana tu. Nyie msiomjua ndio mnasema hahongeki. Lisu alikatiwa mshiko (alihongwa) na mbowe wakati wa sakata la Lowassa kukodisha chama ili agombelee urais. Mwanzo alikuwa upande wetu wapinga Lowassa, alipokatiwa cha juu akatusaliti mchana kweupe kwa tamaa ya pesa. Tangu wakati huo nilimuondoa kwenye orodha ya viongozi wa kisiasa wenye misimamo imara. Lisu ni tapeli tu kama matapeli wengine wa kisiasa.
 
Haahaa kumekucha, kwa lissu watafika mbali
 
Tundu sisi hatutaki hiyo video sababu utakuja kusema imehaririwa. Leta ushahidi wewe mwenyewe tutaupima kama ni kweli au uzushi
Hapo lissu ahojiwe Tena baada ya wenje kuhojiwa, wenje ukimuangalia tu vizuri ana kitu na Abdul, anamsifia sana
 
Haahaa Kwa lissu mna kazi mkuu, watu wamejua ukweli lissu ukweli na uwazi wake umemtengenezea maadui ccm na hata chadema, watakaomuokoa lissu ni wanachama wa kawaida na wapenda haki
 
Lissu ana madhaifu mengi ila sio mla rushwa

Msimuonee lissu ajihis mpweke huwa namhurumia Sana huyo father kwa kweli
 
Lissu amenyooka kama rula, nyeusi nyeusi...ndio maana ma ccm hayamtaki kwasabb hahongeki kudadek!!!.
Kwa hakika.
Hiyo ndiyo sifa kubwa ya Lisu inayomtofautisha na Watanzania wengi, ambao wamezoea kupindisha mambo.

Sasa CHADEMA impe uongozi Lisu ili chama hiki kiwe tofauti kabisa na mambo ya CCM, mambo ya rushwa na kupindisha mambo. Kama CHADEMA ikiyaiga mambo ya CCM, basi watu hawana sababu ya kuiona CHADEMA ni mbadala wa CCM.
 
Kiongozi wa ngazi ya kitaifa anatumia muda mwingi kusutana na watu wa chini take. That's too low!
Too low for the low the brains.

Katika uongozi uliotukuka hakuna cha kiongozi mkubwa wala mdogo, kinachoangaliwa ni haki, ambayo msingi wake mkubwa ni ukweli.
 
Utetezi wake hauwezi kushawishi watu.

Wenje anapinga madai ya kuhongwa kwa hoja nyepesi kuwa mbona anaendelea kuisema negative administration ya Samia.

This is weak argument
Hoja ya kijinga kabisa hiyo
 
Majadiliano ya ndani ya kamati kuu hayawezi kutolewa hadharani hiyo ni kukibomoa chama hata kana Lissu ataonekana muongo.

Lissu ajibu tuhuma zilizotolewa na Wenje katika mahojiano ya Wenje na waandishi. Je Lissu anadaiwa na Wenje? Je Lissu alimtumia Abdul email ya madai yake. Lissu alisaidiwa logistics za matibabu Nairibi na Wenje. je ni kweli kikao cha Masaki kiliahirishwa sababu ya Lissu kuumwa tumbo na siyo kuwa alikikwepa kama alivyodanganya mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…