Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Wacha weeeTundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weeeTundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
😆😅😅😅,Naona wanasiasa wetu wanajivua nguo tu
Sisi wananchi tupate funzo tu kuwa hatuna chetu nchi hii ni ya wachache. Wanagawiana wao kwa wao. Walioko madalakani mama Abduli et al, sambamba na wanaowanyima usingizi(wapinzani).
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema, kabla ya kumjibu toka nje uangalie kama kweli ni usiku ndipo umjibu asante na wewe pia.
Sasa hiyo hongo ilikuwa ya nini kama hakuna chochote kilichobadilika kutoka kwa hao wanodaiwa kuhongwa kumnufaisha muhongaji?!
Tundu sisi hatutaki hiyo video sababu utakuja kusema imehaririwa. Leta ushahidi wewe mwenyewe tutaupima kama ni kweli au uzushiEzekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video.
Ili kuondoa ubishi wa suala hili ninawashauri watoe video recording yote ya kikao hicho. Wasikate vipande vipande wala wasihariri chochote. Watoe video nzima ya mjadala huo ili wanachama na Watanzania wajue ni akina nani walituhumiwa kwa kupokea pesa ya Abduli na mama yake, ushahidi niliouwasilisha dhidi yao na wao wenyewe walijiteteaje!!!View attachment 3181258
Ezekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video.
Ili kuondoa ubishi wa suala hili ninawashauri watoe video recording yote ya kikao hicho. Wasikate vipande vipande wala wasihariri chochote. Watoe video nzima ya mjadala huo ili wanachama na Watanzania wajue ni akina nani walituhumiwa kwa kupokea pesa ya Abduli na mama yake, ushahidi niliouwasilisha dhidi yao na wao wenyewe walijiteteaje!!!View attachment 3181258
Lisu anahongeka, tena sana tu. Nyie msiomjua ndio mnasema hahongeki. Lisu alikatiwa mshiko (alihongwa) na mbowe wakati wa sakata la Lowassa kukodisha chama ili agombelee urais. Mwanzo alikuwa upande wetu wapinga Lowassa, alipokatiwa cha juu akatusaliti mchana kweupe kwa tamaa ya pesa. Tangu wakati huo nilimuondoa kwenye orodha ya viongozi wa kisiasa wenye misimamo imara. Lisu ni tapeli tu kama matapeli wengine wa kisiasa.Lissu amenyooka kama rula, nyeusi nyeusi...ndio maana ma ccm hayamtaki kwasabb hahongeki kudadek!!!.
Haahaa kumekucha, kwa lissu watafika mbaliEzekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video.
Ili kuondoa ubishi wa suala hili ninawashauri watoe video recording yote ya kikao hicho. Wasikate vipande vipande wala wasihariri chochote. Watoe video nzima ya mjadala huo ili wanachama na Watanzania wajue ni akina nani walituhumiwa kwa kupokea pesa ya Abduli na mama yake, ushahidi niliouwasilisha dhidi yao na wao wenyewe walijiteteaje!!!View attachment 3181258
Uzuri wa lissu hapepesi maneno, ukweli na uwazi.Wenje tamaa imemponza, Abdul alitumika tofauti na alivyodhani
Hapo lissu ahojiwe Tena baada ya wenje kuhojiwa, wenje ukimuangalia tu vizuri ana kitu na Abdul, anamsifia sanaTundu sisi hatutaki hiyo video sababu utakuja kusema imehaririwa. Leta ushahidi wewe mwenyewe tutaupima kama ni kweli au uzushi
Kwa swala la rushwa na ufisadi namuunga mkono.Rushwa ni adui wa haki mkuuKiongozi wa ngazi ya kitaifa anatumia muda mwingi kusutana na watu wa chini take. That's too low!
Kuna kipindi Yericko alikuwa na ID feki za kutosha.....Tundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
Haahaa Kwa lissu mna kazi mkuu, watu wamejua ukweli lissu ukweli na uwazi wake umemtengenezea maadui ccm na hata chadema, watakaomuokoa lissu ni wanachama wa kawaida na wapenda hakiLissu ameingia mkenge wa Diaspora. Infact hao diaspora walimuuguza sana tundu. Ameingizwa mkenge na yeye kwa kulewa sifa bila kusikia na kujua madhaifu yake akauvaa mkenge kichwa kichwa. Umewahi kuona diaspora hata mmoja akimkemea Msigwa? Msigwa yupo wapi sasa hivi?
Hakika😆😅😅😅,
akikwambia angalia kushoto we geuka kulia uone kuna nini.
Kwa hakika.Lissu amenyooka kama rula, nyeusi nyeusi...ndio maana ma ccm hayamtaki kwasabb hahongeki kudadek!!!.
Too low for the low the brains.Kiongozi wa ngazi ya kitaifa anatumia muda mwingi kusutana na watu wa chini take. That's too low!
Hoja ya kijinga kabisa hiyoUtetezi wake hauwezi kushawishi watu.
Wenje anapinga madai ya kuhongwa kwa hoja nyepesi kuwa mbona anaendelea kuisema negative administration ya Samia.
This is weak argument
Majadiliano ya ndani ya kamati kuu hayawezi kutolewa hadharani hiyo ni kukibomoa chama hata kana Lissu ataonekana muongo.Ezekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video.