Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Huoni alichoandika ,? Anaeñda kuonana na. Mabalozi wa nje baada ya kuitwa akaripoti polisi

Lisu pandikizi la nje hilo

Hivyo tu?

Wewe na jiwe mbona mnaonekana ndiyo ni mapandikizi haswaa! Jiwe anasemekana ni mwenzao na wale watwa!

Wewe kwa mabandiko yako mengi tu uliyoyaandika humu JF dhidi ya Lissu mgombea urais mzalendo wa nchi hii mliyepanga kumdhulumu roho yake mchana kweupe kwa kumpigia risasi zisizopungua 38 ni wazi kuwa u pandikizi.

Bado vibaraka nyie kwa kuhakikisha kuwa anakosa huduma stahiki za matibabu mkamnyima malipo yote ya tiba na hata kujikimu ili afe.

Niendelee kuorodhesha kwa nini nyie ni mapandikizi wenye kutoitakia mema nchi hii kwa kumwandama Lissu bila sababu muda wote?

Mshindwe na mlegee. Nyote nyie tunawaombea kwa Mungu angalau ICC hapa hapa duniani ianze kuwahusu hata kabla ya kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…