Hata mimi nilifikiri hivyo kwamba huyo Tundu Lisu wenu ana uelewa mpana kwa kuwa mnamsifia sana lkn nimekuja kugundua yuko average sana kwani anaonyesha moja kwa moja chuki binafsi kwa mtu ( P.Kabudi) ambaye hana mpango naye, Kabudi sidhani hata kama anajua Tundu Lisu anaishi au anafanya nini.
Kwa hili huwezi kumtuhumu Lissu kuwa anayo chuki binafsi wakati barua ya kujitoa imeandikwa na Prof. Kabudi na siyo Dk. Mahiga! Tafuta sababu nyingine ya kutushawishi kuamini kuwa Lissu anayo chuki binfsi dhidi ya Prof. Kabudi. Inawezekana kabisa aliyestahili kuandika barua ni waziri wa sharia lakini kwa architect wa mpango mzima ni Kabudi; ndiyo maana akachukua na jukumu la kuandika barua. Kitchen cabinet!