Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Kwa sababu kapudi hana akili anadharirisha taaluma ya sheria
Kama Down syndrome ndo kuwa na akili basi hongera!
Kwa sababu kapudi hana akili anadharirisha taaluma ya sheria
Huyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?
Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
Na wewe mjanja zaidi peleka vielelezo polisi sheria ichukue mkondo wake.
Anaisema nchi au anawasema hawa hayawani ambao kila siku wanafanya hitihada za kiuitenga Tanzania na Dunia?Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Pia amesababisha uwekezaji katika ujenzi wa kiwanda kwaajili ya uchakataji gas asililia (LNG) wenye thamani ya U$30 biliion kuondoka Tanzania na kwenda Pemba ya Mozambique. Leo ukienda Pemba utaona uwekezaji huo unavyounawirisha mji wa Pemba ya Mozambique. Watanzania wafanyabiashara wa kati sasa wanazidi kujazana Pemba - Mozambique barala ya Mtwara. Tumefukuza uwekezaji wa gas yetu halafu tunashabikia bomba la mafuta toka Uganda!! Kioja kikubwa!!Kwa bahati mbaya sana nchi inaongozwa na mtu ambaye hana uwezo hata kidogo wa kufanya evaluation of consequences, yeye huwa anatwanga tu ingawa ktk kutwanga kwake kuna mengine anafanikiwa ndo maana wengine wanasema ana uthubutu.
In fact siyo uthubutu ni kutokujali. Hata Aga Khan amesimamisha ujenzi wa chuo kikuu kikubwa Arusha kwa sababu yale makubaliano aliyokuwa ameyafanya Kikwete jamaa alivyoingia akayatupilia mbali consequently Arusha imekosa kunufaika kiuchumi na ujenzi wa chuo hicho. Yeye aliangalia manufaa ya kodi ya sasa hivi bila kuangalia miaka 20 - 30 ijayo Tanzania itakuwa inanufaikaje.
be my guestWewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Tundu lisu aje ajibu kesi yake asisababishe wadhamini wake waende jela bule . Sianajua sheria? NjooNi kwasababu unamsoma Kwa macho ya bashasha, ungewasoma wengine hivyo hivyo, ungewaelewa.
Una akili wewe?Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Dada Kawe Alumni, ktk hilo Bandiko, Tundu Lissu amesema baya gani!!??!!Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Nadiriki kusema unatumia kamasi badala ya ubongo.Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Hebu uwe unatumia hata akili kidogo basi, hata kama ulipozaliwa hukulia ndio uwe hivi? Acha kuuaibisha ukoo
Kaharishe huko punguani weweHuyu jamaa kabakiza tambo za mtandaoni tuu..
Kisutu inamsubiri muhabarisheni makamanda
Kakojoe ulaleTindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Kakojoe ulale
Ni mtu asiyejitambua kwa kuwa hajui kwamba hajui.Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Kwa bahati mbaya sana nchi inaongozwa na mtu ambaye hana uwezo hata kidogo wa kufanya evaluation of consequences, yeye huwa anatwanga tu ingawa ktk kutwanga kwake kuna mengine anafanikiwa ndo maana wengine wanasema ana uthubutu.
In fact siyo uthubutu ni kutokujali. Hata Aga Khan amesimamisha ujenzi wa chuo kikuu kikubwa Arusha kwa sababu yale makubaliano aliyokuwa ameyafanya Kikwete jamaa alivyoingia akayatupilia mbali consequently Arusha imekosa kunufaika kiuchumi na ujenzi wa chuo hicho. Yeye aliangalia manufaa ya kodi ya sasa hivi bila kuangalia miaka 20 - 30 ijayo Tanzania itakuwa inanufaikaje.
Kaharishe huko punguani wewe