Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

Kutoa maoni kimutadha nibkuisema bibaya nchi?,kama kuna maamuzi yasiyo sahihi yasiyo na yija kwa jamii yasisemwe?pia katiba imetoa fulsa ya kumoa raia wa nchi kutoa maoni yake ,hutaki aiseme serikali kama inakosea?

Duuuu, hata kama umenunua simu mpya sio kwa typing error hizi, au umelewa nini?
 
Awamu ya tano inasema kwamba miruzi mingii........, yaani haya ma-demokrasia, ma-haki za binadamu yenu nk ukiyaendekeza saana yanawacheleweshea wananchi wako maendeleo.
Umenena kwelli kabisa. Ndiyo mawazo ya watawala wa sasa. Wanasahau kuwa mawazo haya ya kipumbavu yalijaribiwa na akina Hitler na Mussolini na hayakufaulu. Yaani Tanzania ya Nyerere leo inatawaliwa na wauaji wenye madegree!!!
 
Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Wewe kila mada ikitokea tuu huna cha kutafakari au kuichunguza unairukia Mara moja kama mtu mwenye akili ya kipumbavu?
Unadhani ni sifa kutetea ujinga hadharani kwa sababu una maslahi unayopata kwa kutumwa kudandia dandia hoja za maana?
Grow up you idiot.
 
Huyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?

Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
Ndugu ongea hoja ya uzi huu ambayo ni Tanzania kujitoa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa..
Aliyetoa tangazo la kujitoa huku upande wa serikali ni Kabudi, je ulitaka asizungumzwe hapa?
 
Sababu kubwa ya kujiondoa kwenye mahakama ya Africa ni kesi ya kupinga Ma DED kusimamia uchaguzi iliyofunguliwa kwenye mahakama hiyo.Serikali inajua itashindwa hivyo imeona bora ijitoe ili kesi hiyo ife.Baada ya kuzikamata mahakama za ndani tatizo likabaki mahakama ya africa ,hiyo wameona ni heri kipa afe kuliko goli kuingia.
 
Hapa na Mimi nimepata hisia inawezekana ikawa sababu, lakini ni ya kipumbavu kabisa!!
 
Ndugu ongea hoja ya uzi huu ambayo ni Tanzania kujitoa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa..
Aliyetoa tangazo la kujitoa huku upande wa serikali ni Kabudi, je ulitaka asizungumzwe hapa?

Siyo kweli, aliyeongea hata hayo masahihisho ni Waziri wetu wa Sheria Mahiga na siyo P.Kabudi, Mahiga ndiyo aliyesema kwamba Serikali imetoa masharti kwa hiyo Mahakama na kama yasiposikilizwa basi nchi yetu itajitoa, sasa kwa nini Waziri wa Sheria siyo target ambaye ndiye aliyesema badala yake anatakiwa Waziri mambo ya nje Kabudi ndiyo ajizulu kama siyo obsession na P.Kabudi ni nini?

Kwa nini Tundu Lisu asimwambie Waziri wa Sheria Mahiga ajiuzulu?
 
Huyu Lissu ndio maana walimshindwa kwa hoja,Ukisikiliza mawaziri wanapapasa papasa mambo tu hakuna hata sababu ya msingi waliotoa.
 
Yaani Tundulisu Leo hii umeshasahau kua ulishawahi sema Nyerere alikua Dikteta?leo hii kwakua unataka kuizungumzia Kujitoa kwaTanzania katika mahakama hii na kuiweka Serikali hii ya JPM katika kundi hilo la udikteta umesha Sahau msimamo wako wa mwanzo juu ya Baba wataifa.
Najua serikali imejitoa kwa sasa katika mahakama iyo kwasababu za kiufundi ila sinashaka siku za baadae itarudi kushilikiana ba mahakama iyo.
 
Huyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?

Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
Parochial mind.
 
Lissu is our next president, huyu jamaa sio tu kwamba ni baba la sheria lakini kwenye taaluma ya kiuchumi pia yuko sawa, Wtz msisite hili jabali likigombea urais mkalimiminia kura zenu kwa mzo, hii ni hazina.
kama taifa hatuhitaji rais bingwa wa sheria maana anapokuwa ikulu mahakama inakuwa ni mhimili mwingine.

ueye rais anawajibika kuwaletea wananchi huduma bora na maendeleo kwa ujumla kama anavyofanya JPM sasa hivi.

huyu mwanasheria wenu mtafutieni kazi za kimahakama awadaidie chadema.
huyu sio presidential material kabisaaa.
 
Back
Top Bottom