Hata mimi nilifikiri hivyo kwamba huyo Tundu Lisu wenu ana uelewa mpana kwa kuwa mnamsifia sana lkn nimekuja kugundua yuko average sana kwani anaonyesha moja kwa moja chuki binafsi kwa mtu ( P.Kabudi) ambaye hana mpango naye, Kabudi sidhani hata kama anajua Tundu Lisu anaishi au anafanya nini.
Wewe unafikiri kesi zinazopelekwa huko ni za siasa tu!Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Kwa hili huwezi kumtuhumu Lissu kuwa anayo chuki binafsi wakati barua ya kujitoa imeandikwa na Prof. Kabudi na siyo Dk. Mahiga! Tafuta sababu nyingine ya kutushawishi kuamini kuwa Lissu anayo chuki binfsi dhidi ya Prof. Kabudi. Inawezekana kabisa aliyestahili kuandika barua ni waziri wa sharia lakini kwa architect wa mpango mzima ni Kabudi; ndiyo maana akachukua na jukumu la kuandika barua. Kitchen cabinet!
Ndio. Ingawa umetumia lugha ngumu kidogo, sisi tunaitaga tu degree za chupi. Wenye hizo qualifications ndio wako wengi humu, uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo mno, kazi yao kubwa ni kushambulia watu, kutukana na kuwa na obsession ya kutafuta identity za watu na wanaishi wapi. Typical hogs.Hivi ni Dada? Nimekuwa nikijiuliza kuhusu huu ujasiri mkubwa wa kuchangia kila uzi unaonekana kutofautiana na mtazamo wa wenye mamlaka, huku mchangiaji mwenyewe akionekana kuwa na uwezo duni sana! Je, ndiyo matokeo ya sex for grades?
Sasa hayo yaliyofanyika ni mazuri ...............!!?Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Mzee huyu hajali, na hana utu kwani kuwepo kwa mahakama ya haki za binadamu ya afrika kumempunguzia nini, Mzee ni Dikiteta na Motoni atakwenda tuKwa bahati mbaya sana nchi inaongozwa na mtu ambaye hana uwezo hata kidogo wa kufanya evaluation of consequences, yeye huwa anatwanga tu ingawa ktk kutwanga kwake kuna mengine anafanikiwa ndo maana wengine wanasema ana uthubutu.
In fact siyo uthubutu ni kutokujali. Hata Aga Khan amesimamisha ujenzi wa chuo kikuu kikubwa Arusha kwa sababu yale makubaliano aliyokuwa ameyafanya Kikwete jamaa alivyoingia akayatupilia mbali consequently Arusha imekosa kunufaika kiuchumi na ujenzi wa chuo hicho. Yeye aliangalia manufaa ya kodi ya sasa hivi bila kuangalia miaka 20 - 30 ijayo Tanzania itakuwa inanufaikaje.
Miafrika kama Palamabamba Kabudo ndio watu wanafiki wanaoendelea kuchafoa rangi ya yuafrika. Ni migjitu mijunga hata kama inesoma, Ina kazi moja tu kula, kuto....a, na kustarehe mambo ya maana kwa watanzania wenzao hawajali.Maamuzi ya kipumbavu kabisa. Mtu kwa sababu tu yeye anakula na kushiba na uhakika wa kupata mshahara na marupurupu kibao, haangalii wengine. Waafrika wengi wana akili fupi sana, jitu likishajaza tumbo lake na kuwa na uhakika wa ngono na starehe nyingine, basi, nyinyi binadamu wengine mnabakia tu kuwa kama mende, hamna haki yaani.
Some people have decided to abuse their power and undermining our democracy. Watu wanakimbiza FDIs, watu wanakimbiza wawekezaji kwa maamuzi ya ovyo yanayochafua taswira ya nchi kama haya.
Kwani sio Mtanzania?Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Right right right. Halafu ni hao hao ndio tunaowategemea kutuondoa kwenye hiyo hali. Kwa kifupi sisi bado sana, nimesoma humu juu ya mkuu wa mkoa wa Arusha kujuta kuweka watu ndani bila kuwasikiliza. Ghafla ameonekana ni mtu wa maana sana...yaani tunaishi kwa huruma tu ya hao ambao eti sisi ndio tuliowapa mamlaka.Maamuzi ya kipumbavu kabisa. Mtu kwa sababu tu yeye anakula na kushiba na uhakika wa kupata mshahara na marupurupu kibao, haangalii wengine. Waafrika wengi wana akili fupi sana, jitu likishajaza tumbo lake na kuwa na uhakika wa ngono na starehe nyingine, basi, nyinyi binadamu wengine mnabakia tu kuwa kama mende, hamna haki yaani.
Some people have decided to abuse their power and undermine our democracy. Watu wanakimbiza FDIs, watu wanakimbiza wawekezaji kwa maamuzi ya ovyo yanayochafua taswira ya nchi kama haya.
Kwa sababu hao mabeberu ndio waliofanya jaribio la kumuua kwa bunduki za kivita na sisi wazalendo sana tukamtibia na kumtakia mema huku tukiwashughulikia wahalifu wale...Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Wakati mwingine soma tu ...unatia aibuTindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Hizi ndizo akiliccm halisi + Atunyi Kawe... jingaletu... kokotenichaneli nk...Huyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?
Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu