Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Vip zile kesi zake za Kisutu. Akikutwa na hatia na akuhukumiwa kufungwa itakuwaje ?
 
Jamaa anasema pale hakuna kesi, ni kumcheleweshea muda tu, siunajua alivyo katili wa sheria!
Vip zile kesi zake za Kisutu. Akikutwa na hatia na akuhukumiwa kufungwa itakuwaje ?
 
Ni wapumbavu pekee hawajui mchango wa Nyerere katika suala la ufukara, uvivu na umaskini wa kupindukia.
Nyerere hajawahi kuwa na sera bora za kutukwamua kutoka katika lindi la umaskini uliotopea na aling'atuka kwa aibu.
Watu kwa upumbavu na unafiki hawataki kuukubali ukweli au hata kuusema.
Sera za ujamaa ulioshindwa zimatufikisha hapa...eti zidumu fikra za nani vile!!!
 
Lisu arudi kupambana na Lazaro Nyalandu kwanza, ndio afikirie mambo mengine
 
Wewe endelea kupalilia sehemu ya kukupatia mkate wako wa kila siku
Kwa sasa hivi bado ni Magufuli na baada ya uchaguzi atakuwa ni Magufuli! Hilo nina uhakika nalo!
 
 
HAAA
Yaaan huo utu uzima wako unaona point ndio ushoga? Poleeeh sana muambie huyo yesu mpya mjini aache kuomba msaada kwa hao mashoga, khaaaah hovyooooh
haaaaa ushaona anashobokea misaada ya hao mashoga ? hanampango nao kabisa endeleeni tu hapa hampati kitu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…