Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.

Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi CCM wanatamani wawe huru kubishana kwenye siasa kama chadema lakini mfumo wao tayari umeondoka kwenye mabishano ya hoja kwenda kwenye upitishaji wa wajumbe na wagombea kwa fikra za mwenyekiti wa mkoa au wilaya

Chadema hakuna aliyekatwa wala kina lake kutokurudi, hakuna siri katika kuhesabu kura wala hakuna matishio yakukataa matokeo kwa sababu hakuna jambo la siri.

Mbowe, Lisu na Dr. Slaa wamefanya kazi kubwa sana kukijenga chama na wameifanya politics ya Chadema ionyeshe mfanano na politics ya ulimwengu wa kwanza.

Je, baada ya uchaguzi unaionaje chadema ikiwa chini ya Lisu na Dr. Slaa ambao maisha yao yote hawana fedha ila wana watu? Je, wasio na fedha watawaunga mkono kuelekea uchaguzi 2025?
 
CCM wanajifunza michakato ya CHADEMA kupata viongozi wake. Whether they like or not somo wanalipata. CHADEMA imalize vema hatua ya mwisho kumpata mwenyekiti wao ili iwe somo rejea kwa CCM nao kufanya chaguzi zake vema
 
Back
Top Bottom