johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
AiseeeHuyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema ππ
Credit: Star tv
Nadhani ni busara TAL aongoze madai ya Katiba mpya kutoka kwa maccm sasa ili uchaguzi ufanyike tukiwa na Katiba mpya. Bila ya hivyo ni kubadilisha chupa mpya lakini mvinyo ni ule ule...Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema ππ
Credit: Star tv
HakikaNi nadra sana kupata Watu wa Kaliba hii ya Lissu.
Tatizo ni aina ya wapigakura wanaoandikishwa na CCM, wanaojitambua ambao ni wachache hawajiandikishi au hata wakiwa kwenye daftari la wapigakura, hawaendi kuupiga kura.Tungekuwa wapiga kura wote tunatumia akili kesho tu Lissu angekuwa rais
We jamaa unaichambua hotuba ya Lissu dakika kwa dakika.Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema ππ
Credit: Star tv
Hili sidhani kama ni tatizo la Msingi.....ingekuwa ni hivyo ile terrorism ya 2020 isingefanyika.Tatizo ni aina ya wapigakura wanaoandikishwa na CCM, wanaojitambua ambao ni wachache hawajiandikishi au hata wakiwa kwenye daftari la wapigakura, hawaendi kuupiga kura.
Matokeo yake CCM wanapata kura marhuni kutoka kwa wazee waliojichokea, wanawake waliopigika kimaisha, vijana wanaopozwa na shs 5000 ya siku moja, wasanii wasiojitambua na kundi kubwa la wapigaji, vishoka na kundi la janja janja wanaoishi kwa ma-deal.
Naunga mkono hoja ndio maana wakati wa mitano tena tutabadili katiba na tutapata katiba mpya.Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema ππ
Credit: Star tv
Lumumba wanakucheleweshea sana posho nowadays!!Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema ππ
Credit: Star tv
Kumbuka wanasema wenyewe kuwa wana mbinu zaidi ya elfu za kuwawezesha kushinda uchaguzi. Nadhani kuna umuhimu wa kuweka vigezo kwa wapigakura, kiwango cha elimu kizingatiwe. Tuachanie na kigezo cha kuwa na miaka 18 pekee.Hili sidhani kama ni tatizo la Msingi.....ingekuwa ni hivyo ile terrorism ya 2020 isingefanyika.
But They Know, wananchi wakiachwa wapige na kuhesabu kama zilivyo.....Outcomes zinajulikana