Tundu Lisu: Tatizo siyo Awadh au Polisi bali Mfumo mzima wa CCM kumiliki Dola, ndio sababu nikiingia madarakani nitaleta Katiba Mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli

Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima

Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana

Nawatakia Dominica Njema 😄😄

Credit: Star tv
 
Aiseee
 
Nadhani ni busara TAL aongoze madai ya Katiba mpya kutoka kwa maccm sasa ili uchaguzi ufanyike tukiwa na Katiba mpya. Bila ya hivyo ni kubadilisha chupa mpya lakini mvinyo ni ule ule...

Akiwa Rais akauonja urahisi na kugundua kigugumizi cha CCM na Samia wake kukwepa Katiba mpya kwa sababu wananufaika, kuna uwezekano TAL naye akawa Rais wa mfumo wa hovyo kama mahasimu wake.
 
Tungekuwa wapiga kura wote tunatumia akili kesho tu Lissu angekuwa rais
Tatizo ni aina ya wapigakura wanaoandikishwa na CCM, wanaojitambua ambao ni wachache hawajiandikishi au hata wakiwa kwenye daftari la wapigakura, hawaendi kuupiga kura.
Matokeo yake CCM wanapata kura marhuni kutoka kwa wazee waliojichokea, wanawake waliopigika kimaisha, vijana wanaopozwa na shs 5000 ya siku moja, wasanii wasiojitambua na kundi kubwa la wapigaji, vishoka na kundi la janja janja wanaoishi kwa ma-deal.
 
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli

Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima

Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana

Nawatakia Dominica Njema 😄😄

Credit: Star tv
We jamaa unaichambua hotuba ya Lissu dakika kwa dakika.

Mzee Lissu anakulipa nini?
 
Tatizo ni aina ya wapigakura wanaoandikishwa na CCM, wanaojitambua ambao ni wachache hawajiandikishi au hata wakiwa kwenye daftari la wapigakura, hawaendi kuupiga kura.
Matokeo yake CCM wanapata kura marhuni kutoka kwa wazee waliojichokea, wanawake waliopigika kimaisha, vijana wanaopozwa na shs 5000 ya siku moja, wasanii wasiojitambua na kundi kubwa la wapigaji, vishoka na kundi la janja janja wanaoishi kwa ma-deal.
Hili sidhani kama ni tatizo la Msingi.....ingekuwa ni hivyo ile terrorism ya 2020 isingefanyika.

But They Know, wananchi wakiachwa wapige na kuhesabu kama zilivyo.....Outcomes zinajulikana
 
LISU bingwa wa TIMING
  • kashakabidhi barua ya kutia nia
  • Yuko huru kuanzia Sasa kujipambanua Samia akimwaga mboga yeye anamwaga ugali

WARIOBA
-alishasema LISU akishinda ...tujiandae kufata katiba na Sheria
 
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana

Nawatakia Dominica Njema 😄😄

Credit: Star tv
Naunga mkono hoja ndio maana wakati wa mitano tena tutabadili katiba na tutapata katiba mpya.
P
 
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli

Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima

Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana

Nawatakia Dominica Njema 😄😄

Credit: Star tv
Lumumba wanakucheleweshea sana posho nowadays!!
 
Hili sidhani kama ni tatizo la Msingi.....ingekuwa ni hivyo ile terrorism ya 2020 isingefanyika.

But They Know, wananchi wakiachwa wapige na kuhesabu kama zilivyo.....Outcomes zinajulikana
Kumbuka wanasema wenyewe kuwa wana mbinu zaidi ya elfu za kuwawezesha kushinda uchaguzi. Nadhani kuna umuhimu wa kuweka vigezo kwa wapigakura, kiwango cha elimu kizingatiwe. Tuachanie na kigezo cha kuwa na miaka 18 pekee.
 
Back
Top Bottom