johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi haujapatikana
Nawatakia Dominica Njema 😄😄
Credit: Star tv