Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Joined
Jun 17, 2020
Posts
75
Reaction score
268
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
 
Niko kwenye jimbo la Ccm tunatumia visima vya kuchimba wenyewe
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
 
Tukose maji kwaajili yako bambav Silinde oyee
 
Kura kwa vitisho, duh!! Chukueni hatua wana Tunduma na Tanzania nzima.

Utawala Bora wa nchi yenu lazima uanze kwa katiba mpya ili mamlaka yarudi kwenu wananchi.

Wakati wa ukombozi wenu ni sasa!!
 
Hamtaki wewe na nani? We jisemee hutaki kisha usubiri tarehe 28 Oktoba kama kuna wanaokuunga mkono kukataa maji na kichagua ushoga.
 
Kura kwa vitisho, duh!! Chukueni hatua wana Tunduma na Tanzania nzima.

Utawala Bora wa nchi yenu lazima uanze kwa katiba mpya ili mamlaka yarudi kwenu wananchi.

Wakati wa ukombozi wenu ni sasa!!
Nani kakwambia mamlaka hayapo kwenu. Muanze na kurudisha mamlaka kwa wananchama wa Chadema kwanza kwani mamlaka sasa hivi yapo kwa mwenye chama Mbowe. Mkiweza hilo na kubadili katiba ya chama chenu ndio mfikirie kubadili katiba ya nchi.

Halimashauri mliiongoza sasa mlishindwa nini kupeleka maji hapo Tunduma
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
 
huyu mvuta shisha anataka awakilishe wanawake wote tunduma,pumbavu kabisa[emoji38][emoji38].
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Wananchi wa Mbeya Ni akili kubwa. Hawawezi kuchagua wakoloni sababu ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…