Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Una mwambia sema WEWE halafu hapo hapo wewe unaridia kusema SISI sasa hii ni akili au funza kichwani??
 
Nawaunga mkono
FB_IMG_16015012605073031.jpg
 
Kura kwa vitisho, duh!! Chukueni hatua wana Tunduma na Tanzania nzima.

Utawala Bora wa nchi yenu lazima uanze kwa katiba mpya ili mamlaka yarudi kwenu wananchi.

Wakati wa ukombozi wenu ni sasa!!
Mimi nashangaa Tunduma kuna matajiri wengi tuu wanashindwa kuchimba visima vikubwa na kuwauzia wenzao? Kule Moshi kuna vijiji unakuta tajiri kachimba kitaalamu kabisa kisima kikubwa kaweka matenki na distribution pipes na watu wanavuta maji na kuwekewa mita, kila mtu ana maji nyumbani kwake. Siyo lazima kumsubiria eti serikali itawaletea maji kwa staili hii ya kubaguana kichama.
 
Hamtaki wewe na nani? We jisemee hutaki kisha usubiri tarehe 28 Oktoba kama kuna wanaokuunga mkono kukataa maji na kichagua ushoga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti ushoga. Unaweza kukuta unashikishwa ukuta daily....
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
CCM OYEEEEEE!
 
Nipo kongwa huku, jimbo lote lami, maji ya kumwaga, hakuna kijiji kisicho na umeme,shule zote zina majengo mazuri,madawati na walimu wa kutosha.

Hosp ya wilaya ni kama zile za india,safari hii mbunge wetu akiumwa hataenda nje. Madawa ya kutosha kila zahanati,manesi na madaktari wapo wengi.

Njooni muone maendeleo ya kongwa.

Sijui wenzangu wa chato na ruangwa.. msoga si mnapaona lakini.
 
mkuu kama miaka yoote hiyo hawajaleta maji, iweje leo ile vitisho? kwahiyo unaafiki kwamba kwenye majimbo yote ya CCM mambo ni safi kwa wananchi wote?
.
Ndio hata Kama siyo Safi Ila uwezekano wa kuwa Safi ni mkubwa maana Kuna connection Kati ya Wananchi na mtoa pesa za miradi.

Wahenga walisema siku zote huwezi kushindana na Dora.
 
Wananchi wa Mbeya Ni akili kubwa. Hawawezi kuchagua wakoloni sababu ya maji
.
Hamna binadamu anaeishi asiependa maji otherwise Kama hao watu wa mbeya unaowazungumzia wewe ni Mazombi.
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Hivyo umeuza kura kwa maji?? Maendeleo ni haki yako huwezi kuyanunua kwa rushwa wacha ujjnga weee
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Maendeleo ni haki yako ya msingi ya maji safi inatengenezwa kwa Kodi yako magu hana uwezo wa kutoa hela mfukoni mwake ameshawapima km hamna uelewa wowote wa haki zenu ndio maana ana wakazia hutuba km hii huwez ukaisikia Nchi Kama Kenya mtaji wa CCM ni nyinyi mambumbu juu wa uelewa wa haki zenu
 
Huku ni kuwaonea kabisa watu wa Tunduma,Tunduma inakusanya mapato mengi sana hapa nchini kwenye tano bora inaweza kuingia,kimkoa inaongoza kwa mapato hata chato haifikii Tunduma lakini wao ndo wananyimwa huduma its unfair
 
Huyu mccm ajiangalie kauli zake yeye sio Mungu kwahiyo tukiamua tunaweza kumlilia Mungu wa kweli aliye hai na akamjibu,wana Tunduma wameishi miaka yote bila maji kama sio Mungu aliyewatetea ni Nani?!?
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Wewe kula kulala utajua nini? Kila kitu unasubiri wazazi wako walete!?
 
Back
Top Bottom