Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Weraaaa weraaaaaa maji peleka Chato
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Asante sana, mwambieni awapelekee maji kwake CHATO. Sijawahi kuona rais wa OVYO kama huyu ********!
 
Nothing more nothing less....[emoji849][emoji849]
 
J
Niko kwenye jimbo la Ccm tunatumia visima vya kuchimba wenyewe
Jimbo la KONGWA ni moja kati ya Majimbo yenye Shida ya Maji nchi hii sijapata kuona...

KONGWA toka Uhuru iko chini ya CCM na hadi Leo Maji hakuna.

KONGWA toka 2000 hadi sasa 2025 iko chini ya JOB NDUGAI, Spika wa Bunge letu takatifu na bado Shida ya Maji kila siku inaongezeka...

TUNDUMA msitishwe na Magufuli huyo SILINDE ni msaliti pigeni chini na ndo maana CCM wenyewe walimkataa...

Magufuli asiwadanganye kashindwa kuleta Maji KONGWA Kwa shosti wake Ndugai, ataleta Maji Kwa huyo Silinde msaliti?
 
Kwa Ndalichako ni CCM na maji hakuna
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
 
Hivi huyu Mzee huwa Ni mzima kwa wanaonua vizuri ? Au tuwaulize tiss waliomfanyia vetting huyu Mzee wenu Ni mzima kweli upstairs . Juzi tu katika kupiga magoti kaisha sahau .
IMG_20201002_081258.jpg
IMG_20201002_000058.jpg
Screenshot_20201001-014422.png
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Watu wengine basi tu siasa hawaziwezi.
Walitakiwa kubaki waamurishaji kwenye mabarabara
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Hao wakina mama sio watu?'Au wao kuteseka ni haki yao.Watu wenye akili wanapozungumza mambo ya akili kama huelewi bora ukakaa kimya.
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Ripoti kituoni haraka sana....utanikuta hapa kituo cha mwendokasi buguruni
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.

mkuu kama miaka yoote hiyo hawajaleta maji, iweje leo ile vitisho? kwahiyo unaafiki kwamba kwenye majimbo yote ya CCM mambo ni safi kwa wananchi wote?
 
Back
Top Bottom