Mkuu wewe uko kila jimbo au ndiyo yale yale ya saa mbovu?SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Ila hawajawahi kutishia watu.KWANI KUNA SIKU CHADEMA WAMESEMA CHAGUENI MBUNGE WA CCM ILITUSHIRIKIANE KULETA MAENDELEO??
Kwa hiyo majimbo yote ya SSM maji yanatiririka tu mabombani???!!SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Mkuu wazazi wako wana hasara sana kukuzaa lakini kama kweli umemaanisha na si kwa sababu ya malipo ya buku7Tukose maji kwaajili yako bambav Silinde oyee
Amuka❎Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.
Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Mkuu mlikuwa wapi kupeleka hayo maji?Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.
Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Naamimini jiwe akiulizwa maana ya Urais sidhani kama hata anaelewa, kiongozi mshamba hawezi fikisha taifa popoteAsante sana, mwambieni awapelekee maji kwake CHATO. Sijawahi kuona rais wa OVYO kama huyu ********!
Mkuu umehamia tunduma lini kutoka Kawe?Kama hutaki ni wewe na mama yako, usitusemee wanatunduma wote msukule we.
Jiandae kisaikolojia usije kujinyongaKwanza Miaka 60 ya uhuru yote tumekosa maji leo ndio tuanze kuhangaika na maji ???????
HATUTAKI MAJI YAO.
Kwanza Magufuli hashindi uchaguzi.
Kwa sababu na kodi hakusanyi kwenye maeneo walioshinda wapinzani siyo?sasa unataka akuletee maji wewe ambae hukumchagua? ulie mchagua means manifesto yake umeikubali basi dai alivyokuahidi! unataka umchague mbunge wa chadema alaf unataka utimiziwe yaliyo ahidiwa na ccm unaakili au matope
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ndio hata Kama siyo Safi Ila uwezekano wa kuwa Safi ni mkubwa maana Kuna connection Kati ya Wananchi na mtoa pesa za miradi.
Wahenga walisema siku zote huwezi kushindana na Dora.
Akikujibu nitagg😂😂😂Mkuu wewe uko kila jimbo au ndiyo yale yale ya saa mbovu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Tatizo la magufuli hawajui watu wa Mbeya na Songwe??? Ndo tatizo la kupewa cheo kikubwa bila kujua historia ya nchi yako!!Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Changamoto ya maji ni ulimwengu mzimaa. Kinachotakiwa ni kuendeleza Ku up date ongezeko la usambazaji wa maji kwani matumizi yamajii yanaongezeka kila siku, na hakuna siku yatakuja yaishee kabisaa. Kwa hiyo ccm utawala wake mzurii nikuendeleza kuongeza usambazaji wa maji kwenye maeneo husika kulingana na uhitaji wake. Tutaendelea kuichagua ccm kwakuwa inajali hitaji hili kwa umakini uliotukuka. Ila wapinzani munanongwaa.Kwa hiyo majimbo yote ya SSM maji yanatiririka tu mabombani???!!
Yaani ni kwamba majimbo tu chadema na upinzani ndio hakuna maji.
Kwa hiyo ukichagua chadema hupati maji. Basi na hilo eneo husika kodi zisikusanywe maaana kodi ni kwa maendeleo.Changamoto ya maji ni ulimwengu mzimaa. Kinachotakiwa ni kuendeleza Ku up date ongezeko la usambazaji wa maji kwani matumizi yamajii yanaongezeka kila siku, na hakuna siku yatakuja yaishee kabisaa. Kwa hiyo ccm utawala wake mzurii nikuendeleza kuongeza usambazaji wa maji kwenye maeneo husika kulingana na uhitaji wake. Tutaendelea kuichagua ccm kwakuwa inajali hitaji hili kwa umakini uliotukuka. Ila wapinzani munanongwaa.
Mkuu hapa silinde atapata kura za aibuHamtaki wewe na nani? We jisemee hutaki kisha usubiri tarehe 28 Oktoba kama kuna wanaokuunga mkono kukataa maji na kichagua ushoga.
Kwa nini hamkupeleka maji kwa miaka 60 iliyopita tangu tupate uhuru leo mje na vitisho kwa wapiga kura?
Tunduma mmeshaamua.Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Nitajie ofisi mpya mliyojenga ukiacha zile za TANU na ASPmtajenga ofisi mpya ama tuendelee kuwasema?