Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Ukivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.

Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.

Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
 
Ukivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.

Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.

Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
Hiki ndicho kilinishangaza, hadi vitoto vya shule ya msingi wanavaa sketi za shule zinazoacha mapaja wazi
 
Pia ni wazee wa fujo sana, ukizingua kule kupigwa shaba sio jambo la kushangaza,
Pia kuna kipindi kulikua na vikundi vya mtaani kama manguruweni ukizinguana na mmoja wapo anaenda kukuitia wenzake wanakupa kipigo.
Pia akimtokea demu akamchomolea, anakuja na wenzake wanamchukua kwa nguvu wanaenda kujipigia.
Kipindi cha uchaguzi maandamano/vurugu ni jambo la kawaida sana, Polisi wanapata shida sana kule. Maandamano nayo ni ya mara kwa mara.
Labda kama saivi wametulia.
 
Kkoo habari ingine mazee
Africa inasemekana Ethiopia ndo Wana soko linakaribiana na kkoo
Tunduma mbona hotel za maana hazifiki hata 10?..
Anyway Tunduma ni mji wa magendo toka Enzi za Nyerere
 
weka picha tushawishike
 
Acha niende huko nikasome ramani
 
Tunduma ni kijiji kilichochangamka
 
Haya maelezo yaani utafikiri tayari nipo tunduma.Yanavutia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…