M
Kuna madogo pale wanapesa Hadi unaogopa. Mfano yule Dogo mwenye Maduka ya kuuza matajiri na Vituo Vya Mafuta Frame nyingi pale kuanzia Round about ni za huyo dogo , anawavua watu nyumba Bei za Kariakoo na Ilala na Mwenzie yule mwenye Maduka ya kuuza simu na Hotel jirani na Soko la Mazao ana Supply simu na accessories nyingine karibu Zambia yote na Lubumbashi, Au huyu Tajiri agent wa bidhaa zote za Madukani Kwa Wahindi ana Supply bidhaa Hadi Zambia. Piya amejenga Kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Kula amejenga Upande wa Zambia , na Malighafi yake ananunua Soyabeans wakulima waxambia wanapeleka Nakonde kwake,