Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Ukivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.

Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.

Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
Ombeni Bandari ya beira Msumbiji na Angola ziendelee kuwa vibaya ila siku yaja hiyo yote itakuja kupungua sana.
 
Kkoo habari ingine mazee
Africa inasemekana Ethiopia ndo Wana soko linakaribiana na kkoo
Tunduma mbona hotel za maana hazifiki hata 10?..
Anyway Tunduma ni mji wa magendo toka Enzi za Nyerere
Hakuna Hoteli za hadhi hapo, wafanyabiashara na Machinga Huwa hawalali hotelini ila huko kwenye ma lodge na Guests
 
Tunduma ni kijiji kilichochangamka
Tunduma ukienda kwa ajiri ya starehe mkuu apakufai ila kwa mtu anae jitafta ni Bora kwenda tunduma kuliko kwenda dar.

Mimi naona ukishindwa kuishi Tunduma wewe sehemu zote uwezi kuishi

Pale vitu ni Bei ndogo Sana sio msosi sio pakulala ukiwa Tunduma unapata advantage kubwa ya vitu vikipanda upande wa bongo unafuata upande wa zambia.

Mpaka mabando pale ukiwa na laini ya zambia unatumia vizuri tu maana mtandao unashika vizuri tu,unaweza pata GB2 kwa 10kwacha ambayo kwa kibongo ni kama 1350 tu.
 
Yao la kienyeji ni sh.800 Sasa sijui msosi upinunaosema bei ndogo.

Ondoa msosi vingine ni bei ndogo
 
Wewe naona unapitaga ndani ya gari tu watu wenye mpo ndani ya gari lazima mpigwe bei iyo ipo sehemu yote.

Tunduma Kuna machaka ugari maharage na mboga za majani jero tu [emoji16] unapewa na advantage ya kachumbari ya free.
 
Huko ni mabandani ambako mstaafabu hawezi kuja kula hata usafi ni shida na vile Mji wenu hauna maji ni shida tupu
 
Tunduma ,Nakonde ni transit point ya nchi za kusini kwa Africa na ndio maana zimechangamka kibiashara na kingine kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa biashara bei ni chee kwa vifaa vya electronics, simu na nguo almost kama ilivyo Dar.
 
Tunduma ukienda kwa ajiri ya starehe mkuu apakufai ila kwa mtu anae jitafta ni Bora kwenda tunduma kuliko kwenda dar.

Mimi naona ukishindwa kuishi Tunduma wewe sehemu zote uwezi kuishi

Pale vitu ni Bei ndogo Sana sio msosi sio pakulala ukiwa Tunduma unapata advantage kubwa ya vitu vikipanda upande wa bongo unafuata upande wa zambia.

Mpaka mabando pale ukiwa na laini ya zambia unatumia vizuri tu maana mtandao unashika vizuri tu,unaweza pata GB2 kwa 10kwacha ambayo kwa kibongo ni kama 1350 tu.

MTN au Airtel?
 
M
Pale kukuta watoto wa miaka miaka 22 wana mipunga mirefu kawaida sana
Kuna madogo pale wanapesa Hadi unaogopa. Mfano yule Dogo mwenye Maduka ya kuuza matajiri na Vituo Vya Mafuta Frame nyingi pale kuanzia Round about ni za huyo dogo , anawavua watu nyumba Bei za Kariakoo na Ilala na Mwenzie yule mwenye Maduka ya kuuza simu na Hotel jirani na Soko la Mazao ana Supply simu na accessories nyingine karibu Zambia yote na Lubumbashi, Au huyu Tajiri agent wa bidhaa zote za Madukani Kwa Wahindi ana Supply bidhaa Hadi Zambia. Piya amejenga Kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Kula amejenga Upande wa Zambia , na Malighafi yake ananunua Soyabeans wakulima waxambia wanapeleka Nakonde kwake,
 
Back
Top Bottom