chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Hahaha tena kumi nimezidishaSijui ulifika lini Sumbawanga mkuu Petrol station zipo zaidi ya hizo unazosema wewe
Usipende kuiongelea Sumbawanga uliyofika wewe miaka ya 90 mkuu
Petro station Sumbawanga mjini hazizidi 10 ukitaka nikutajie semaSaizi Kuna Ujenzi wa petrol station Mpya 3,mwaka Jana pia petrol station Mpya 3 zilifunguliwa.
Hao wamezoea story za kusimuliwa hawasafiri.Mwisho.kusema Tunduma Ina petrol station zaidi ya 50 ni uongo wa mchana kweupe,zilizopo hazizidi hata 30 na Hadi juzi sijaona ujenzi wa service station yeyote hapo Tunduma.