Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

M

Kuna madogo pale wanapesa Hadi unaogopa. Mfano yule Dogo mwenye Maduka ya kuuza matajiri na Vituo Vya Mafuta Frame nyingi pale kuanzia Round about ni za huyo dogo , anawavua watu nyumba Bei za Kariakoo na Ilala na Mwenzie yule mwenye Maduka ya kuuza simu na Hotel jirani na Soko la Mazao ana Supply simu na accessories nyingine karibu Zambia yote na Lubumbashi, Au huyu Tajiri agent wa bidhaa zote za Madukani Kwa Wahindi ana Supply bidhaa Hadi Zambia. Piya amejenga Kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Kula amejenga Upande wa Zambia , na Malighafi yake ananunua Soyabeans wakulima waxambia wanapeleka Nakonde kwake,
VP unamuongelea Bahati mnozya MANYANYA ?
 
Zile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
Ila na ukimwi upo. Vijana wengi sana ndugu zake na Bujibuji wamekufa sana kwa ukimwi. Pale ilikuwa au ndiyo kituo cha kuuchukua na kuusambaza😭🙆‍♀️😥😪
 
Ule ni mji wa mipango kama wewe huwa kama unapita kama mtoto wa shule huwezi elewa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile ap

Ila na ukimwi upo. Vijana wengi sana ndugu zake na Bujibuji wamekufa sana kwa ukimwi. Pale ilikuwa au ndiyo kituo cha kuuchukua na kuusambaza😭🙆‍♀️😥😪
Nyumba ambayo nilipanga mwenye nyumba na mkee wake wote waliokuwa wametangulia mbele ya Haki waliokuwa wamewacha watoto wadogo sana , Baby Yao ndio alikuwa anachukywa Kodi na kuwatunzs wale watoto
 
Miji yote ya Kisasa na ya Wastaarabu Maji ni huduma ya Umma ndio maana tunalipa Kodi sio hivyo vinyesinavyokunywa.

Yaani Kila mtu amechomba visima vya maji mna share uchafu wa vyoo na vile ni shaghalabaghala town ni shida tupu na kimji Cha hivyo kabisa [emoji3][emoji3]

Kwa taarifa yako Mimi hapo Tunduma ndio kwetu ila siwezi kuishi huko bush hakuna ustaarabu wa Maisha.
Wewe umeajiliwa unatumia akili ya Bos wako sisi tumejiajili tuache na tunduma yetu . Kwani wewe unaishi wapi Ilembo,mwenge ,ichenjezya,ilolo,old vwawa,mtambwe au isangu?
 
Back
Top Bottom