nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Nilikuwa Geita mwaka 2012, nikapita kununua nguo na viatu kwenye boutique za hapo, ebanaeeee! Kuna nguo na viatu pale ambavyo Mwanza havipoKwa hili nakubaliana na wewe, Katoro bidhaa zinauzwa kwa bei rahisi ukilinganisha na maeneo kama jiji la Mwanza