Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

Udiktetaa kitu kibayaa sana sasa naanza kuelewa why Raia wa Libya waliwashaa motoo pamoja na kupewa Maisha mazurii...!! Hapa bongo maisha ya ovyoo na bado Jiwe anataka kutuburuzaa...
Umenikumbusha. Nilishangaa sana pale Gaddafi pamoja na yale aliyokuwa anajisifu kuwafanyia Walibya bado walipo mshika kajificha mtaroni walimfanyia vitendo vibaya sana hadi kufa kwa aibu huku akilia kama mbuzi anayechinjwa pale Vingunguti.
 
Saa mnaandika hapa,Je! mmewaandikia NEC rasmi ili wawajibu na kufanya ufuatiliaji??
 
Kifuatacho Tanzania Ni kuwachinja ccm
Kuna aina fulani ya watu hata wakifa kuweka bendera nusu mlingoti hawastahili.
Halafu hivi hawa wanaoitwa viongozi wa Dini wanao mzinguka always wanayaona haya? Au nao wanataka tuwachenjie?
 
Endelea kuota tu! Karibu barabarani Lissu ameshasema atawaingiza barabarani sijui nyinyi ni ng'ombe wakuingizwa tu barabarani bila nyinyi kutumia akili?!
Mbona nyinyi mnawaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Yaani nchi hii kuna mambo yanatia sana hasira!Unaweza kujikuta unawaza mabaya tu!
 
Hawa ni wagombea udiwani kata za Tunduma na viongozi wa Chadema ngazi ya Mkoa wa Songwe. Walituhumiwa Kwanza kwa kosa la Kuwa sio raia na sasa wamepewa Shitaka la unyanganyi wa kutumia silaha. Haya maonevu sio Mara ya Kwanza kufanyika Tunduma. Lengo ni wasigombee Udiwani. https://t.co/lBfO14QNvw
IMG_20200824_212319.jpg
 
Chadema na upinzani kama hamuwezi kuchukua hatua achaneni na siasa mjiunge na CCM kulia lia hakuwezi kuwasaidia... Yaani mnataka kushika dola kwa msaada wa CCM? yaani CCM ndio iwasaidie kwenye harakati zenu za kuchukua dola?.. acheno utoto nyie.
 
Tunakotaka ufike sisi tutakupeleka hivyo utakuwa umefika na umekaa.
Kuna mtu leo unaweza mpa leo bomu aende katikati ya kundi la miccm na ajilipue na akakubali!Endeleeni kupandikiza chuki,amani kutoweka itakuwa kama kumsindikiza mlevi!
 
CDM na upinzani kama hamuwezi kuchukua hatua achaneni na siasa mjiunge na CCM..kulia lia hakuwezi kuwasaidia... Yaani mnataka kushika dola kwa msaada wa CCM? yaani CCM ndio iwasaidie kwenye harakati zenu za kuchukua dola?.. acheno utoto nyie...

Mbowe ataishia tu kuandika vimaneno vyake huko twitter then mchezo umeisha,hii mambo inaenda kutokea kama ile ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
 
Majambazi wako Hadi maafisa wa polisi sembuse mgombea udiwani?
Pia majambazi yamejaa "CCM" mengi tu, ila yanaachwa kwa kuwa yanalindwa na jiwe. Si unamkumbuka aliyekuwa mbunge wa "CCM" yule wa shinyanga aliyekutwa na silaha.
 
Kuna siku nchii hii itabadilika iwe na moshi. Kuna mtafit miaka 8 iliyopita alitahadharisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi itakayokua na Amani tete kuanzia 2025.hili naliona linachungulia

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hii mishetani ndiyo maana YESU ALIISHUTI PEUPE KUWA. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO.. LAKINA HAYASIKII ALAFU YANATAKA KWENDA MBINGUNI. Waambie wanaowatuma kuonea watu wakumbuke kuwajengea mbingu yao ya matofari ya kuchoma.
Hawawezi kuona makosa yao wakati Viongozi wa Dini wameamua kuungana na watesi na kushangilia dhulma kwa binadamu wenzao kwa sababu tu ya mahaba ya kivyama na Kikabila.


Katiba iliyopo inababisha nchi kuwa na vitendo vya kikatili kwa kisingizio vya kulinda amani. Amani imekua ni jambo la kutumia nguvu kuwasababisha wenye uroho na ulevi wa madaraka kuendelea kubaki kwenye madaraka.

Tatizo kubwa ni MTU mmoja kuwa na madaraka makubwa ya kuteua hata watu wa kabila lake tuu au dini yake tuu au ukanda wake tuu bila kuulizwa au kuwajibishwa kikatiba.

Katiba imetoa mwanya mkubwa sana kwenye uteuzi. Ndio maana MTU kama Sabaya bado yupo Kwenye Ofisi ya umma inayogharamikiwa na asilimia kubwa sana kwa kodi ya wapinzani wa Ukanda huo. Yupo pale kuwaumiza walipa kodi kwa sababu tu ya kulinda kiti chake kinachompa chakula.

Hali ikiendelea hivi kwa vyama vya siasa kufanya Uhuni wakishirikiana na baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola wanaolinda maslahi yao kikanda au kidini au kikabila mwishowe watapoteza mvuto kwa jamii.

Afrika bado kuba Ukabila ,Udini, ukanda na ushabiki wa kivyama mbali kabisa na Utaifa na uzalendo wa kweli. Ili kuondoa udini ,ukabila,ukanda na uvyama ni lazima watu wafanye siasa kwa Haki na usawa na pia kujenga utaifa na kuondoa huu uhunu. Ukichunguza vizuri utagundua kuwa hata ukatili na ubabe unafanywa kwa misingi hiyo hiyo ya kulinda hayo. Na wanayoyafanya wanakua na wazo hilo hilo kuwa sasa ni zamu ya dini yetu ,kabila letu ,ukanda wetu n.k watatukoma.

Waafrika tubadilike na tukatae kugawanywa na watu wachache walioahidiwa madaraka au wanaolinda madaraka yao na familia zao kwa mgongo wa zamu yetu.
 
Back
Top Bottom